Yaani CCM kweli imekufa tamko la kichama hilDo ...usaha mtupu!! Hkuna jipya jibuni hoja......
Na kwa bahati nzuri, tamko limeonyesha kuwa kuwa kweli CCM hawampendi kabisa Dr Slaa..angalia tamko la CHADEMA kama chama..anatamkwa Dr Slaa!! Hii ni ajabu kabisa..na kwenye ishu nzima hakuna mahali Dr Slaa kasema yeye ndie kagundua kuwa wanataka kuua!!
CCM inasema CDM inapumulia mashinee!! Uwiiii...kweli chama hiki kimekufa kabisa..juzi tu uchaguzi serkali za mitaa...pamoja na hila zoote kimepoteza viti vcingi kwa CHADEMA kuliko wakati mwingine wowote tangu kuumbwa kwa CCM!!