Inawezekana kuwa kwa mtazamo wa mleta hoja kuwa Dr.slaa ni muongo lakini nataka atujibu Nape haya:
* bomu lililorushwa Soweto kwenye mkutano wa chadema,hakuna uchunguzi.
* kuuawa kwa Dr sengondo Mvungi nchi imestarehe
*kupigwa risasi kwa Mapadri kimya,
* matamshi ya kuulishwa sumu kwa zitto hakuna uchunguzi,
*malamiko ya Dr.slaa,kuwindwa kuuawa serikali kimya,
* kutishiwa kuuawa kwa viongozi waandamizi wa chadema kupitia taarifa ya madiwani wa shinyanga, serikali kimya.
Kinachoshangaza Nnape Nauye amekuwa kiongozi wa kuingia kwenye vyombo vya habari na kusema huu ni uzushi.
Kwa nini serikali hii makini ikiwa na vyombo vyetu vya usalama vinashindwa kushughulikia mambo haya ili kujua uongo huu?.
Atuambie kati ya Nape na Hawa Akina Mabere Marando nani yuko sahihi?, no research no right to say