Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,809
Tuna lijua hilo Nape Slaa anatafuta huruma ya wananchi na CDM yake!
Kwani wewe Ndio Nappe.?nape matokeo ya sumbawanga umeyapata?
Ninayo ya Tanzania mzima, na kwa Ufupi tu, nipo ziarani Dodoma na niwape habari kuwa MKOA WA DODOMA, CCM imeshinda kwa wastani wa asilimia 95..
Lakini nimewauliza hizo asilimia 5 kwanini mmewapa..? wakasema wamewaonea huruma, lakini niliwashauri kuwa wakimfukuza Mwendawazimu wahakikishe wanatupa na Makopo yake pia.
Hizi siasa za majitaka mbaya sana, hapo kujua nani mkweli na muongo ni kazi sana na ndio siasa ilipofikia hakuna mwanasiasa au Chama ambacho Kuna fanya siasa safi, nanyi chadema mkitoa tuhuma kama hizo bila kutupa ushahidi kila siku mtatoa ila tunasubiri bila kupata uthibitisho mnaanza kupoteza credibility kwetu na ccm pia mfanye siasa safi jamaa
Namshauri mdogo wangu nape.
Dr.slaa siyo saizi yake,walishindwa kina mkapa kubato naye,atakuwa nape uyu mtt wa kuasiliwa?
Kwani vikongwe wa kanda ya ziwa nani huwa anawauwa? CCM mikono yenu inanuka damu!Sasa Slaa na uzee kama ule nani amuue
Chadema wakati mwingine watafute vya maana vya kusema
UCHAGA UDINI NA UKABILA UNAKIUA HIKO CHAMA.
Ninayo ya Tanzania mzima, na kwa Ufupi tu, nipo ziarani Dodoma na niwape habari kuwa MKOA WA DODOMA, CCM imeshinda kwa wastani wa asilimia 95..
Lakini nimewauliza hizo asilimia 5 kwanini mmewapa..? wakasema wamewaonea huruma, lakini niliwashauri kuwa wakimfukuza Mwendawazimu wahakikishe wanatupa na Makopo yake pia.
Hujuma gani unazungumzia mkuu kwani nani hajui kuwa slaa kakubuhu kwa umbea na uongo usiokuwa na tija kwa jamii.
Kwani nape hujui slaa kuwa ni katibu wa kundi la wazee waongo?
mzee slaa ameanza uongo tangu akiwa kanisani akiwa padri atashindwa leo kuongopa uraiani?
Mkuu mimi najua slaa ndiyo anaongoza kwa pumba hapa nchini.