Nape awavuruga Chadema Mbeya!

Nape ndio kiboko yao. Silaha za maangamizi ziko pembeni, zimetulia tuli.

Labda kwenye vipodozi lakini kwenye siasa neh kemcho sunche papeto,kamshindwa Lowasa,Chenge nk na sasa kachanganyikiwa ana harahara tu hajui afanye nini zaidi ya kueneza vipodozi tu.
 
Movement for Crusade is really forever, no doubt.this is another philosophy of silly Ccm (ccm for crusade of Tanzanians rights,welfare,resources) that they are preparing themselves to crucify TANZANIANS in 2015 so that their power couldnt move to CDM's hands,poor ccm,silly ccm fulled with unreasonable leader.all moves of yours have encountered blocks from cdm
 
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!

Mi namkubali si unaona!!?
 
10.+Nape+akiwasili+mbeya.jpg

Hawa wagambo humwaga,hupola na kula vyakula mama lishe,siku watawekewa sumu!!!nape yupo hapo?saluti za nini magamba wanapagawa kweli
 
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!

Mchana huu!? afu ni saa tano usiku!
 
Kwanza mm nipo Mbeya sijaona dalili ya kuwepo kiongozi yeyote jana.Nape haiwezi Mbeya labda akamuullize s.sitta,Nyalandu na kina kilango walipokuja Mbeya walikutana na Kitu gani.Kandoro kagwaya Yupo kimya Kikwete hajawahi kukanyaga tangu 2010. wewe mchumia tumbo mwambie Nape apige mkutano SIDO akutane na nguvu ya umma.
 
mleta thread umepwaya sana hujataja ukumbi ulipo,jina lake pia hujui du lakini asante kwa taarifa ngoja nimwambie dereva wangu wa ajiandae kukodiwa kusomba watu leo.
 
Hawa wagambo humwaga,hupola na kula vyakula mama lishe,siku watawekewa sumu!!!nape yupo hapo?saluti za nini magamba wanapagawa kweli

Jamani hii ni child abuse. Hawa watoto kwanini wameshonewa nguo bila kupima vipimo vyao sahihi jamani?
 
nipo mby sijasikia uwepo wa Nape kwani hakuna hata gari la matangazo la kumnadi kama kawaida yao ningesia lazima ningeenda kupata analosema l.l niliweke jamvini ngoja nifuatilie ukweli wa hii habari maana mtoa hoja hasemi alikuwa ukumbi gani
 
Watoto wa shule wanafanya nini kwenye mikutano ya siasa za Nape? Kama anataka watoto wa shule ajaribishe international/saint schools.

Halafu watoto wenyewe wanawavalisha nguo za watu wazima! Hawa watoto badala ya kuwa shuleni wanawapeleka kwenye siasa, mwisho wa yote ni kwamba watafeli tu.
 
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!

Picha iliyoko kwenye mtandao huu inazungumza tofauti na hali halisi. Watu waliozunguka jukwaa wakimsikiliza Bwana Nepi hawazidi hata miambili(200) pamoja na maafande kwa hesabu za harakaharaka! Sasa huu UMATI unaozungumzwa hapa uko wapi???Hizi ni propaganda tu hakuna kitu pale. Bwana Nepi anapoteza muda wake bure.

Nachelea kusema kuwa hata hao wanachama 167 wapya ni hewa. Yawezekana kabisa ni watu waliopewa pesa na Nepi ili waonekana kuwa ni wanachama wapya waliojiunga na CCM!

****!
 
Nape katafute sehemu nyingine ya kupeleka UDHAIFU wenu siyo Mbeya!!! Shame on you, all Gambaz!!
 
Hata kama, ccm itavuna 197 lakini CDM itavuna 1197. Nani zaidi hapo? mkutano mmoja wa ccm unatumia pesa nyingi mno kuwasombelea watu waende kwenye mkutano na wanawaacha huko wakimaliza mikutano yao. CDM wakiwa na mkutano wanatafuta gari ya wageni rasmi tu kuwapeleka mkutanoni, wengine wanajikuta wapo na mori wa kwenda kusikiliza hoja za nguvu. CCM hawana uhalali wa kujitapa hapo, labda kwa vile hela itumikayo haiwaumi maana wameipora kwa wananchi kimtindo (CCM imepora mali zote zilizochangiwa na watu wote katika one party system).
 
NApe NApe mkuu per diem mkuu si unajua ndo bye bye tena hako ka chama. Jamaa yako yeye alishazikomba sana za kuruka na anga.
 
Back
Top Bottom