Nape awavuruga Chadema Mbeya!

hivi ccm hawanunui nguo za watoto?
ni mpaka wavae za wazazi wao?mbona bajeti ni kubwa na tundu la kuchukulia hela pale bot bado halijazibwa?
 
Contradictory............
 

....mkuu,natofautiana na ww kidogo,hapa kwny vyuo vikuu!mbeya kuna vyuo vikuu,mzumbe,teku nk.
 
sorry,did you mean nape kavurugwa na chadema?????
 
Kipindi kibaya kwa wanavyuo si unajua ccm wanamwaga mapesa watu wamewafuata wanachuo na kuwapa mshiko ili waudhurie kama kawa mbeya ni cdm ila kwenye mshiko kama kawa tunachukua ccm.
 
mkapa hall mbeya nadhani hivyo lakini mbona wengi ni watoto au ndiyo anaimarisha chama kwa kuwekeza kwa watoto kwanza maana 2015 hawana kitu hawa watoto wataanza kupiga kura 2025 ili nao waje waseme chama kwa sasa kina vijana
 
hawa wagambo humwaga,hupola na kula vyakula mama lishe,siku watawekewa sumu!!!nape yupo hapo?saluti za nini magamba wanapagawa kweli

wanawadhalilisha watoto hawa. Mbona wamewashonesha mashati oversize halafu kila mtu kivyake. Chipukizi ilikuwa zamani za mwalimu bwana siyo leo
 
Watoto wa shule wanafanya nini kwenye mikutano ya siasa za Nape? Kama anataka watoto wa shule ajaribishe international/saint schools.

Unajua mkuu viongozi wengi wanashindwa kutofautisha shughuli za chama na serekali na haswa huko mikoani !
 
Mi namkubali si unaona!!?

huu ni mkutano wa nini? familiya au, mbona polisi ndio wengi- uwanja umepaya, hizo kadi kampa nani? mbona hawa watu walipo hapa hawafiki hata hio 167?hakuna effect, watarudi wote kama ni kweli
 

Kweli KAGEUZWA, hii post inaonyesha it was posted mchana kulingana na sentesi anazotumia. Ila JF haidanganyi ni kwamba ilikua posted at 23:33 ina maana alikua anatarajiakulala akawa anafanya mchanganuo wa yaliyomtokea mchana wake wa kuhutubia watoto walioshonewa magamba makubwa ya kukua nayo. Hahahahahaaaaaaa pole NEPI ni kujikojolea tu ukikua utaacha.
 
Halafu watoto wenyewe wanawavalisha nguo za watu wazima! Hawa watoto badala ya kuwa shuleni wanawapeleka kwenye siasa, mwisho wa yote ni kwamba watafeli tu.
Ha ha ha nilifikiri nimeona mie tuu manake nimekauka kicheko yaani nguo za babu zao wamevalishwa wao jamani CCM embu kuweni na ujasiri wa kukubali mapungufu mbona munaangukia visogo vyenu wenyewe dunia ya leo unaweza ukawa hata na propaganda za kuwavalisha watoto wa wenyeviti wa CCM vitongoji na kuwafanya chipukizi
 
ameivuruga vipi chadema, kwani hao alowapa kadi ni wanachama wa Chadema, asiote kuivuruga chadema Mbeya, labda Bagamoyo, JK mwenyewe Mbeya anaigwaya, sembuse huyo houseboy wake

teh teh teh.....nimeipenda hii mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…