Nape awavuruga Chadema Mbeya!


Vyuo vikuuu vitaje. Mbeya kuna vyuo vikuu????? Toka lini? Kuna vyuo vikuuu ambavyo ni questionable, utitili wa vinavyoitwa vyuo vikuu na wanafunzi wake ni hao hao wa borderline passes. What do you expect of them!!!! Vyuo vikuu ni UDSM, MUHAS, SUA basi. Najua mtalalamika na kunitukana!!!, huo ndio ukweli, basi, full stop!!!!!!!!
 

Kageuka karibu jamvini halafu juwa kuwa wanachuo wote wapo kwenye mitihani ya kumaliza muhula wa 2 kipindi hiki kwahiyo HAWAWEZI KUFANYA UDHAIFU HUU ULIOSEMA yaelekea umekurupuka kajipange upya urudi tena

 

Akirudi kumsifia Slaa basi yote haya uliyo yasema yatabadilika, tumesha wazoea wapambe wa CDM humu JF. Kuna ajabu gani kuwa na multiple ID? mbona nyie mnazo kibao?
 
Mbeya sio Bagamoyo wewe! kwa hyo unajiropokea hovyo hovyo
 
Wazee wamewashtukia sasa wamehamia kwa watoto.
Chadema wangetumia watoto kama wanavyofanya CCm,ungeona jinsi ambavyo
wangepigiwa kelele.Ole wake siku nakuta mwanangu akidhalilishwa namna hii
wakati alitakiwa kuwa darasani.Huyo mwalim atanitambua.
 
Mbona Arusha haji? tunaomba aje Arusha tumuonyeshe nguvu ya umma inavyofanya kazi
 
Nape nakushauri kama upo kweli serious tembelea maeneo kama Nachingwea, Ilala kidogo, Dodoma hivi au Morogoro ila kama unataka kuongeza perdiem zako karibu Tunduma, Arusha na Mbeya hapa SIDO. Ukifika SIDo sema CCM OYEEE.
 
Aisee ni kweli alipokelewa na watoto wengi kwa gwaride la magreen guard.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ukiangalia hawa watoto wamelazimishwa na yawezekana hata hawajala chochote,hivi wewe nape
siku ukikuta mwanao anapigishwa kwata hivi wakati wewe unajua yuko shule utajisikiaje?
 
Akirudi kumsifia Slaa basi yote haya uliyo yasema yatabadilika, tumesha wazoea wapambe wa CDM humu JF. Kuna ajabu gani kuwa na multiple ID? mbona nyie mnazo kibao?

Mimi sijafikiria hivyo kwasababu sitafuti sifa kwa Chama Chochote... Sina kimbelembele

Nape kimbelembele kitamshinda... kama kazi yake Nzuri itaonekana, Umeona Chadema wakifanya Mikutano yao

Viongozi wa Mikutano wakifanya upuuzi wa nape humu ndani ya Jamii Forum? Unaona Uongozi ni Hekima, Nape

Hana Hekima hata kidogo ni Mtoto hajakua na CCM imemkumbatia kuficha UOZO
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah nape bwana.
 
Kweli magamba hayana aibu hata kidogo. Hawa watoto wadogo badala muwaache waende shule au tuition km ni likizo mnawalisha sumu zenu hizo? Angalia watoto walivyo na afya dhaifu wakati Nape hata vifungo vya GWANDA(kavaa jezi yetu naona anatufagilia kweli) havifungi.
 

kuna mshkaji wangu aliniambia anaenda kuhudhuria nikamwambia kama ni kweli asiongee na mimi tena! Tena nikamhakikishia nipo serious. Jamaa aliogopa sana na hakuenda kwenye huo mkutano!
 

....ndoto za alinacha hizi..alf lela ulela!
 
Nape is giving within himself a run for his money. Daudi Mchambuzi "CCM wanajitekenya wenyewe na kucheka"
 
Kimbelembele ni bidii ya kazi ndugu yangu, hii ndio kazi ya uenezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…