Nape awapongeza Dkt Slaa na Lipumba

Nape awapongeza Dkt Slaa na Lipumba

hajitambui Nape na asishindane na nguvu ya mungu narudia tena ukawa walianza na na mungu watamaliza na mungu,huu mwaka ni mwisho wa ccm,kifo cha nyani miti yote huteleza,ukawa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Teh Teh..
Hivi Josephine alisha muachia huru Dr.W.Slaa?
5968cdc69db23fee722b228ca47387e5.jpg
f7854ac2d4f2dc81dbd73c0599e3dafc.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

kama kuna uwezekano wa kuitoa ccm madarakani tatizo ni nini? ccm iondoke kwanza mengine baadae..
 
ukiwa vitani halafu adui anawapongeza askari wako walioasi ama kurudi nyuma jiulize kuna nini?
 
Hizi propaganda angeziacha kwa watu wa mitaani.katibu mzima unafanya pres na kuongea utumbo
 
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

Chama kinapata kutu taratiibu ..kupe wanafata mzoga wao Lowassa
 
Kwa ccm ni kheri EL awe raisi kuliko Dr. CCM waliwatega. Walimtosa EL wakijua fika ukawa watamchukua na hapo ndo mwisho wa Dr nanyi mkaingia mtegoni.

Ndugu yangu unachokiongea si sahihi, ni nadhalia, yaan hilo ccm hawakulijua kabisa,sidhani kama walikuwa na hayo mawazo ya kuwa El angeenda ukawa maana kwa ukimya wake wa muda mrefu walijua wangeendelea kumburuza tu,kama wangeona na kujua hilo basi sasa hivi wasingekuwa wanalia lia kwa kubomokewa na li chama Lao,chenga aliyowapiga =D> El si ya kitoto maana sasa hivi ugamaban wanatafutana tu
 
Nape anafanya kazi ya kufurahisha genge la walanguzi.
 
Akili za huyu jamaa nashindwa kuzitofautisha na za Wema. Laiti kama angekuwa wa kike, nadhani akina TID wangekuwa wamepiga kambi nyumbani kwake wakigonga kwa zamu. Hawezi kuzungumza kitu cha kupokelewa na mwenye akili.

utawajua tu waliozoea kugongwa maana kila mtu wanazani ni wa hivyo,
 
Nape NNAUYE amewapongeza Dk. SLAA na Prof. LIPUMBA, amesema wamejitambua kisiasa na kujitenga

Source:MTANZANIA
Nape imekula kwako
We msifie lipumba slaa muache kabisaa
 
Attachments

  • 1439626590844.jpg
    1439626590844.jpg
    55.5 KB · Views: 134
Ndugu yangu unachokiongea si sahihi, ni nadhalia, yaan hilo ccm hawakulijua kabisa,sidhani kama walikuwa na hayo mawazo ya kuwa El angeenda ukawa maana kwa ukimya wake wa muda mrefu walijua wangeendelea kumburuza tu,kama wangeona na kujua hilo basi sasa hivi wasingekuwa wanalia lia kwa kubomokewa na li chama Lao,chenga aliyowapiga =D> El si ya kitoto maana sasa hivi ugamaban wanatafutana tu

wewe ni waleo kwenye siasa za nchi hii walijua sana maana huu mpango ulikuwa unaandaliwa na mengi tangu 2013 katika agenda ya lazima rais atoke kasikazini awamu hii, na ndo maana vyombo vyake vya habari vilianza kumtanganza munda mrefu,wewe kama haujui basi,

Back
Top Bottom