Nape awapongeza Dkt Slaa na Lipumba

Nape awapongeza Dkt Slaa na Lipumba

Nape NNAUYE amewapongeza Dk. SLAA na Prof.
LIPUMBA, amesema wamejitambua kisiasa na
kujitenga

Source:MTANZANIA

Akili za huyu jamaa nashindwa kuzitofautisha na za Wema. Laiti kama angekuwa wa kike, nadhani akina TID wangekuwa wamepiga kambi nyumbani kwake wakigonga kwa zamu. Hawezi kuzungumza kitu cha kupokelewa na mwenye akili.
 
Nape anacheza game of mind kuendeleza ushawishi wa kulegeza deal la kumnunua Dr Slaa. Eti Leo anasema Dr Slaa ji mwanasiasa mahiri na anamkubali sana. Huyu nape ndiye aliyemnanga Dr Slaa kwa majina lukuki mara Babu, Zee, padri mzinifu, mchonganishi aliyeishiwa Sera. Eti Leo kwa kuwa mpo mnamuhadaa ili Dr Slaa awatose watanzania asaliti mapinduzi kwa kununuliwa kama Lipumba ndio unamuita jembe, mwanasiasa bora na majina yote mazuri. Dr Slaa kazi kwako. Utusaliti wanamageuzi kama alivyofanya Lipumba
 
Slaa hakai meza moja na mafisadi kama Lowasa.
 
Nape n fisi tu njaa ndio inamfanya ajikakamue kma anaku... kwa ajili ya maslai yake pale ssm
 
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

Acheni kuleta hoja za kikabila mmefilisika kwa hoja! !?
 
dr slaa mkatoliki hawezi kukumbatia uchafu ni tofauti na dini za akina gwajima
 
Dk slaa na profesa wanajitambua

Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

mkuu hakuna kabila bongo linalojua businesss ka wachaga saiv wanafanya political business

Hivi mlikuwa hamjui faida ya kutwanga pilipili?
Naona imewapalia hasa, mtakohoa sana.
Mpaka mkohoe damu mwaka huu.
 
Mwacheni huyo Nape anaruka ruka tu chuki tu ndizo zimemjaaa mwacheni akaogeleee
 
Nape nakupongeza kwa kurudi kwa mafisadi ya nchii ndani ya CCM, na nadhani Jana umeona mafurikozz mnafki wewe!
 
Back
Top Bottom