Nape awapongeza Dkt Slaa na Lipumba

Nape awapongeza Dkt Slaa na Lipumba

nani hasiyejua ccm ndio wacheza mchezo Wanajua walichokifanya kwa dr slaa na lipumba?

Watambue kwamba mabadiliko haya hepukiki oct 25 wamesha aminiwa kwa zaidi ya miaka 50 wakubali mwisho wao umefika,
 
Hapa bado kamanda Slaa hajaja kukandamiza zaidi...

Watu washazibuka na hakuna wa kutuzuia...

Kama anadhani zama za ukipitishwa na Magambas basi wewe ni Rais afikirie upya...

​
 
ccm ndio iliyozalisha rushwa na ufisadi, ni jiko linalopika na kuandaa ufisadi. Kisha leo plepole anataka kuhadaa watanzania eti ccm na magufuli hawana ufisadi anajipotezea mate na energy. Watanzania tunafahamu kila kitu. Tulimtaja jk ktk list of shame na bado polepole hakuzungumza, ccm hiyoyo ituambie rizwn amepata wapi huo ubilionea wakati naye ana degree moja kama watoto wa walala hoi,aliajiliwa wapi penye mshahara wa basic salary bilion 1. Kama sio mfumo uleule wa ccm umemtajilisha mtoto wa jk. Polepole anatafuta madalaka kama aliyopewa yule bwana aliyemrukia na kumpa kichapo mze warioba leo tunaona ni mkuu wa wilaya. Kwahiyo hata polepole hawezi achana na mfumo ccm sababu anauchu na kuwa bilionea.[/QUOTE

hata lowasa aliiba pesa za masikini akiwa mkurugezi wa afrika mashariki,
nafikiri ungewalinganisha magufuli na lowasa kwa aibu ya ufisadi kuriko kutwambia mambo ya mtoto wa kikwete yeye ni nani ktk nchi hii,
 
Kama mbowe kauza chadema yeye kinacho muumiza ni kipi?mbona hamusemi kikwete alivyo kiuza chama chetu!ukiwa na msemaji aina ya nape hata aliyemteuwa inabidi tuwachunguze,hivi nape unajitambua kweli?huna hata ndugu zako wakuwaza kukupa hata ushauli?
 
wewe nape huna akili Maana Lipumba kavuta mkwanja wa kutosha af wewe unapotosha umma
 
wewe ni waleo kwenye siasa za nchi hii walijua sana maana huu mpango ulikuwa unaandaliwa na mengi tangu 2013 katika agenda ya lazima rais atoke kasikazini awamu hii, na ndo maana vyombo vyake vya habari vilianza kumtanganza munda mrefu,wewe kama haujui basi,

Huo ni uoga tu kwa wasiopenda mabadiliko,nchi hii Rasi anatakiwa atoke mkoa wowote ule au kijiji chochote kile,kama walijua hilo mbona hawakujiandaa, ndyo maana nasema ni uoga,ni uoga mkubwa sana
 
Nauliza tu wakuu, mimi ni mgeni humu,nasikia oil chafu ukipaka kwenye ubao, ubao huo hauwezi kushambuliwa na mchwa kamwe.Imekaaje hiyo?
 
Mbona mnakosa yakusema mnaonge pumba wewe na nauye hampo
 
Ndugu yangu unachokiongea si sahihi, ni nadhalia, yaan hilo ccm hawakulijua kabisa,sidhani kama walikuwa na hayo mawazo ya kuwa El angeenda ukawa maana kwa ukimya wake wa muda mrefu walijua wangeendelea kumburuza tu,kama wangeona na kujua hilo basi sasa hivi wasingekuwa wanalia lia kwa kubomokewa na li chama Lao,chenga aliyowapiga =D> El si ya kitoto maana sasa hivi ugamaban wanatafutana tu

Unajua walishanusa wakaona wananchi wanakuja juu kutaka mabadiliko. Jamaa Walitambua mbinu wanazozitumia siku zote kushinda zitafika mahali zitagonga mwamba kutokana na kasi ya watu kutaka mabadiliko kuwa kubwa. Hivyo walijua lolote linawezatokea kwenye uchaguzi huu. Tatizo si upinzani kutwaa dola bali ni maisha yao baada ya upinzani kutwaa dola. Wanajua akitawala huyo aliyeibua meremeta, kagoda, epa n.k., hali yao itakuwa mbaya. Wakaona ni kheri wamtoke Kafara mwenzao mmoja anayefanana nao ili akawe upande wa mabadiliko. Akishinda huyo, salama yao ipo. Na ili asiwe mpweke kule aliko wamehakikisha kuna watu wengi wanaomfuata. Hawa watasaidia kuhakikisha maisha ya hao jamaa yapo salama hata ikitokea wameshindwa. Ni mawazo yangu tu lakini yafanyie utafiti.
 
Sheria ya manunuzi ya mwaka 2010 inataka huduma au bidhaa zozote zinazomilikiwa na watu wengi zinapouzwa kufuata utaratibu wa manunuzi, kwa hivi karibuni mheshimiwa EL alikinunua chama cha demokrasia na maendeleo kwa bei mbaya bila kufuata taratibu za chama. gazeti hili lina taarifa kuwa hata kamati kuu ililetewa tu maamzi kutoka kwa muasisi. wajuzi wa mambo wanasema uzoefu wa EL alioupata ndani ya CCM kucheza dili kubwa ndani na nje ya nchi ndiyo uliomsadidia kuweka mambo sawa. baadhi ya vigogo walionekana kuwa na kehelehele na kidomo domo walipewa kiasi si haba wakakaa kimya, japo kuna wengine walikataa kwaani imani zao haziwaruhusu kupokea. Habari za ndani zinasema hali ya waliokataa siyo nzuri kisiasa kwaani wana maadui wengi nje ya CDM, na kutupa funzo kuwa bora kuwa na maadui wachache. asubuhi njema wandugu.
 
Duuuh hatari....unaandika lakini
 
Acha upuuzi wewe. Umeshaona kila mtu ni wakununuliwa? Shida iko wapi kama ni demokrasia ya kweli inatafutwa. Tuliza kichwa na ufunguke akili. Tanzania ya sasa sio ya hiyo miaka 50 iliyopita. Leo hadi mtoto mdogo anajua nchi hii inauozo wa hali ya juu wewe unakaa kuandika vitu visivyo na tija kwa maendeleo. Tulia October inakuja
 
Sheria ya manunuzi ya mwaka 2010 inataka huduma au bidhaa zozote zinazomilikiwa na watu wengi zinapouzwa kufuata utaratibu wa manunuzi, kwa hivi karibuni mheshimiwa EL alikinunua chama cha demokrasia na maendeleo kwa bei mbaya bila kufuata taratibu za chama. gazeti hili lina taarifa kuwa hata kamati kuu ililetewa tu maamzi kutoka kwa muasisi. wajuzi wa mambo wanasema uzoefu wa EL alioupata ndani ya CCM kucheza dili kubwa ndani na nje ya nchi ndiyo uliomsadidia kuweka mambo sawa. baadhi ya vigogo walionekana kuwa na kehelehele na kidomo domo walipewa kiasi si haba wakakaa kimya, japo kuna wengine walikataa kwaani imani zao haziwaruhusu kupokea. Habari za ndani zinasema hali ya waliokataa siyo nzuri kisiasa kwaani wana maadui wengi nje ya CDM, na kutupa funzo kuwa bora kuwa na maadui wachache. asubuhi njema wandugu.

Halafu mnasema bangi ihalalishwe? Aisee.
 
Nadhani hata serikali (TRA) hawajapata kodi yao
 
Back
Top Bottom