Nape awapongeza Dkt Slaa na Lipumba

Nape awapongeza Dkt Slaa na Lipumba

Acha upuuzi wewe. Umeshaona kila mtu ni wakununuliwa? Shida iko wapi kama ni demokrasia ya kweli inatafutwa. Tuliza kichwa na ufunguke akili. Tanzania ya sasa sio ya hiyo miaka 50 iliyopita. Leo hadi mtoto mdogo anajua nchi hii inauozo wa hali ya juu wewe unakaa kuandika vitu visivyo na tija kwa maendeleo. Tulia October inakuja

Ni kweli kamanda kwakweli vyamavyote vinanuka ufisadi sijui tutakimbilia wapi chama pekee kilichobaki labda ni ACT,uozo wa kwanza ni huyu fisadi wa mda mrefu alieinunua CDM kwa bei mbaya,kwakweli ananuka na hasafishiki
 
Ni kweli kamanda kwakweli vyamavyote vinanuka ufisadi sijui tutakimbilia wapi chama pekee kilichobaki labda ni ACT,uozo wa kwanza ni huyu fisadi wa mda mrefu alieinunua CDM kwa bei mbaya,kwakweli ananuka na hasafishiki


Tufanyeje sasa?
 
Nape NNAUYE amewapongeza Dk. SLAA na Prof. LIPUMBA, amesema wamejitambua kisiasa na kujitenga

========================



Chanzo: Mtanzania
Madalali walipanga Dili la kuwanunua Slaa na Lipumba walikuwa ni Nape na January iweje aseme walijitambua wakati wao ndiyo waliwarubuni kwa kuwapa Dola million 3.5 toka kwa Membe zikiwa ni pesa za marehemu Gadafi na NIDA. Kila kitu kinajulikana hata Mwakymbe alivyoshiriki kumfundisha Slaa jinsi ya kujidai ameondoka mwenyewe kwa matakwa yake ilijulikana, hakuna siri kila mmoja anajua panga alilopiga kupitia propaganda za kumchafua Lowasa na kuwadhoofisha ukawa.
 
Nape amejitajirisha kwa kubuni mladi wa kumchafua Lowasa ambapo alipata pesa nyingi kutoka kwa Membe na maadui wa Lowasa huku pia akipiga pesa nyingi za ccm kwa kisingizio kuwa anazitumia kuwadhoofisha upinzani, Nape bila fitna za siasa leo hii angekuwa Fundi viatu.
 
Teh Teh..
Hivi Josephine alisha muachia huru Dr.W.Slaa?
5968cdc69db23fee722b228ca47387e5.jpg
f7854ac2d4f2dc81dbd73c0599e3dafc.jpg
Hicho kibabu cha mihogo kinawadai pesa zake Nape na January maana walipewa Dola million 2,wampelekee lakini wakapiga panga hazikufika zote, leo anajishaua kuwa Slaa alijitambua akiwa na nia ya kujipendekeza ili asidaiwe pesa alizopiga panga.
 
Nape imekula kwako
We msifie lipumba slaa muache kabisaa
wote alikula pesa zao kupitia Udalali wa kuwanunua ili kumkomoa Lowasa na Ukawa, wameanza kumdai panga lao alilopiga ndiyo maana kaamua kujikomba kwao ili wajikaushe wasimdai kitu.
 
wote alikula pesa zao kupitia Udalali wa kuwanunua ili kumkomoa Lowasa na Ukawa, wameanza kumdai panga lao alilopiga ndiyo maana kaamua kujikomba kwao ili wajikaushe wasimdai kitu.

Hivi waliokula hela za wazi wazi kuanzia makanisan ,misikitini ni nani ,kama sio mbowe na CO lowasa
 
Kama mbowe kauza chadema yeye kinacho muumiza ni kipi?mbona hamusemi kikwete alivyo kiuza chama chetu!ukiwa na msemaji aina ya nape hata aliyemteuwa inabidi tuwachunguze,hivi nape unajitambua kweli?huna hata ndugu zako wakuwaza kukupa hata ushauli?
Kwanza mbowe hakuuza chama bali alitumia fursa na Lowasa aliweka wazi Richmond ni ya Kikwete na watu waliotengeneza propaganda za kuwakaririsha watu kuwa Lowasa amenunua chama ni Nape na January na baada ya watu kukariri wao walilipwa pesa nyingi na ccm na Nape, Ebu angalia wengine wanakariri lakini wao wanapiga pesa,
 
Hivi waliokula hela za wazi wazi kuanzia makanisan ,misikitini ni nani ,kama sio mbowe na CO lowasa
Huko kanisani na misikitini misaada ilikuwa ya wazi na pesa za misaada zilitoka kwa mashirika ya nje na marafiki wa Lowasa, lakini Hilo la kuwanunua CDM halina ushahidi bali liliundwa na kuzushwa na January na Nape kwa Ufadhili wa Membe wakiamini ingesaidia kuwadhoofisha Ukawa.
 
Back
Top Bottom