Sheria ya manunuzi ya mwaka 2010 inataka huduma au bidhaa zozote zinazomilikiwa na watu wengi zinapouzwa kufuata utaratibu wa manunuzi, kwa hivi karibuni mheshimiwa EL alikinunua chama cha demokrasia na maendeleo kwa bei mbaya bila kufuata taratibu za chama. gazeti hili lina taarifa kuwa hata kamati kuu ililetewa tu maamzi kutoka kwa muasisi. wajuzi wa mambo wanasema uzoefu wa EL alioupata ndani ya CCM kucheza dili kubwa ndani na nje ya nchi ndiyo uliomsadidia kuweka mambo sawa. baadhi ya vigogo walionekana kuwa na kehelehele na kidomo domo walipewa kiasi si haba wakakaa kimya, japo kuna wengine walikataa kwaani imani zao haziwaruhusu kupokea. Habari za ndani zinasema hali ya waliokataa siyo nzuri kisiasa kwaani wana maadui wengi nje ya CDM, na kutupa funzo kuwa bora kuwa na maadui wachache. asubuhi njema wandugu.
Nadhani hata serikali (TRA) hawajapata kodi yao
Zilipendwa ndio bora zaidHiyo singo mbona ilishakuwa zilipendwa? Haina wanunuzi wala mashabiki! Kwa ujumla haiuziki tena. Lowasa ndo habari ya mujini kwa sasa!
Sheria ya manunuzi ya mwaka 2010 inataka huduma au bidhaa zozote zinazomilikiwa na watu wengi zinapouzwa kufuata utaratibu wa manunuzi, kwa hivi karibuni mheshimiwa EL alikinunua chama cha demokrasia na maendeleo kwa bei mbaya bila kufuata taratibu za chama. gazeti hili lina taarifa kuwa hata kamati kuu ililetewa tu maamzi kutoka kwa muasisi. wajuzi wa mambo wanasema uzoefu wa EL alioupata ndani ya CCM kucheza dili kubwa ndani na nje ya nchi ndiyo uliomsadidia kuweka mambo sawa. baadhi ya vigogo walionekana kuwa na kehelehele na kidomo domo walipewa kiasi si haba wakakaa kimya, japo kuna wengine walikataa kwaani imani zao haziwaruhusu kupokea. Habari za ndani zinasema hali ya waliokataa siyo nzuri kisiasa kwaani wana maadui wengi nje ya CDM, na kutupa funzo kuwa bora kuwa na maadui wachache. asubuhi njema wandugu.
Tena TRA wanapaswa kuwapa na adhabu ya kukwepa kulipa kodiHiyi ni kazi ya TRA sasa sijui km wanafuatilia.
Sheria ya manunuzi ya mwaka 2010 inataka huduma au bidhaa zozote zinazomilikiwa na watu wengi zinapouzwa kufuata utaratibu wa manunuzi, kwa hivi karibuni mheshimiwa EL alikinunua chama cha demokrasia na maendeleo kwa bei mbaya bila kufuata taratibu za chama. gazeti hili lina taarifa kuwa hata kamati kuu ililetewa tu maamzi kutoka kwa muasisi. wajuzi wa mambo wanasema uzoefu wa EL alioupata ndani ya CCM kucheza dili kubwa ndani na nje ya nchi ndiyo uliomsadidia kuweka mambo sawa. baadhi ya vigogo walionekana kuwa na kehelehele na kidomo domo walipewa kiasi si haba wakakaa kimya, japo kuna wengine walikataa kwaani imani zao haziwaruhusu kupokea. Habari za ndani zinasema hali ya waliokataa siyo nzuri kisiasa kwaani wana maadui wengi nje ya CDM, na kutupa funzo kuwa bora kuwa na maadui wachache. asubuhi njema wandugu.
Hiyo singo mbona ilishakuwa zilipendwa? Haina wanunuzi wala mashabiki! Kwa ujumla haiuziki tena. Lowasa ndo habari ya mujini kwa sasa!
Nimemsikiliza lowasa kwa umakini, jama yupo vizuri sana, anaongea maneno machache lakini point tupu, kwa kweli jamaa yupo vizuri na hanaLowassa anawapa presha sana ccm wanatamani hata awaongee kitu yeye anamwaga sera tu kila kona na hata ndipo akina slaa walikuwa wanabugi akienda huku anazungumzia ccm huku ccm nadhani huko likizo anajifunza mengi kuhusu siasa. Jana ametua Zanzibar na kuwaambia nmwanzo
Halafu mnasema bangi ihalalishwe? Aisee.