NAPE avimbiwa na MAWAKILI

hivi ni wakili gani alietayari kwenda kudhalilishwa mahakamani na mawakili wa chadema? hata kama ni njaa lakini hii ya Nape hailiki, Chadema wameingia ndani ya 18 zake mabeki hakuna na audake mpira mwenyewe.
 
CHADEMA mnahangaika sana na kesi hii.....poleni sana!
Nilikuwa namkubali sana Nape Nnauye yule ambaye ya sauti ya mtu aliye nyikani na hasa baada ya Emanuel Nchimbi na Yusuph Makamba kukuvuwa kihuni uanachama wa UVCCM.

Lakini huyu si Nape yule tena, bali huyu ni Nape ambaye ni swahiba wa William Malecela baba lenye miaka 51 linakula na kulala kwa Baba Upanga Sea View. sitalajii lolote la maana kutoka kwa mtu wa Category yako. JK amekupa nafasi kama kijana lakini vijana mmeendelea kutuangusha. so sad.
 
Wamwambia hawako tayari kumwakilisha kwenye shauri ambalo halina ushahidi wa kutosha. Ni katika kesi yake aliyofunguliwa na CHADEMA.Mawakili wamemshauri aombe samahani kwa CHADEMA.

Ni hivi: Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM,Nape Nnauye amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kugomewa na Mawakili ili wamwakilishe kwenye shauri lake. Kampuni hiyo ya Mawakili ambayo ipo karibu na Kampuni yetu pale Posta jengo la PPF Tower ilimkatalia Nape kwakuwa hana ushahidi wa kutosha wa kupangua kesi iliyofunguliwa dhidi yake na CHADEMA kwa kusema kwake kuwa CHADEMA inahongwa kutoka nje na itauza nchi.

Safari ya kuelekea kwa Mawakili hawa ilitokea baada ya Nape kujibiwa na Mawakili wa CCM kuwa wako 'busy' na mashauri ya chama pamoja na hoja kuwa kesi dhidi yake ni ya binafsi zaidi na si ya ki-chama.'Aende akawaombe radhi CHADEMA.Hana ushahidi wa kutosha.Itakuwa ngumu kulindika Mahakamani. Tumemwambia wazi' walisema Mawakili hao.
Aliyataka mwenyewe kwa vile yeye ni Nape basi awe anaropoka tuu ngoja apelekwe jela akishindwa kulipa faini!!!
 
CHADEMA mnahangaika sana na kesi hii.....poleni sana!

Poor Nape.Sisi ccM ya Lowassa na Fisadi Rostam tunanyanyua ka glass ketu Chareeeeeeeesi. Bro nakushauri upige magoti kama ya mrema wakati ule na useme,Ndg zangu CHADEMA, sorry unaanza na kupaza sauti pipoooooooooz,then utasikia tu Lisu anakuitikia Pawaaaaa, afu unaendelea jamani nasomesha dada na kaka zangu.Hata mambo ya urithi ni mimi tu ninayeshughulikia na kwa kweli niliropoka tu.Najuuuuuuta kama ya joti na sitorudia kamwe.Afu unaonyesha the victory sign ya CHADEMA afu siku hiyo hakuna mbaya piga gwanda maridadi kabisa.
 
nilikuwa namkubali sana nape nnauye yule ambaye ya sauti ya mtu aliye nyikani na hasa baada ya emanuel nchimbi na yusuph makamba kukuvuwa kihuni uanachama wa uvccm.

Lakini huyu si nape yule tena, bali huyu ni nape ambaye ni swahiba wa william malecela baba lenye miaka 51 linakula na kulala kwa baba upanga sea view. Sitalajii lolote la maana kutoka kwa mtu wa category yako. Jk amekupa nafasi kama kijana lakini vijana mmeendelea kutuangusha. So sad.

una utani na le mutuz? Halafu kapotea, sijamsikia kitambo
 
CHADEMA mnahangaika sana na kesi hii.....poleni sana!
Mkuu si ukaombe msamaha yaishe kuliko kwenda kujiumbua!!! Unaona aibu kusema samahani, ni lugha nzuri tuu ya kuomba msamaha, wewe ni mpambanaji ushugulie mambo ya chama huoni mnaanza kuzomewa????

 
Ivi ni kweli kazi ya katibu mwenezi ni kuropoka tuu bila mpangilio
Naona this time itakula kwake na next time itabidi awe anawaza mara mbili kuongea!
 
Unajua wanafikiri ni siri kwamba Wanapata Fedha toka Nje?Swala wanazitumiaje hilo ni mjadala na anayekupa ana kusudia kufaidikaje hilo nalo linajadilika ?
Hilo sasa ni jibu la kesi iliyoko mahakamani??? Nape anatakiwa kujibu kesi ya uzushi wa CHADEMA kupewa fedha toka nje ya nchi, kupangua hoja za Tundu Lisu!!!!

 
.. hata panya akinaswa kwenye mtego lazima ajitetee, ila aliyemtega ndio anaujua mwisho wake..!
 
Back
Top Bottom