kazi ya nepi ni kuhifadhi mavi ya mtoto hana lolote zaidi ya pumba
ila nakushauri uende ili utupe yatakayojili huko!
Tunashukuru kwa taarifa mkuu!
naogopa nisije onekana nimeeongeza wingi wa watu na hivyo kudhihirisha anakubalika
Kila siku kila post zinazomhusu Nape ni za kumponda. Ina maana hajawahi kufanya jema hata moja?.
Tuache ushabiki wa kijinga!
Kila siku kila post zinazomhusu Nape ni za kumponda. Ina maana hajawahi kufanya jema hata moja?.
Tuache ushabiki wa kijinga!
Katibu wa majungu wa CCM, Bw. Nape, leo atakuwa Mwanza ambapo tangu juzi wanazi wake walipita kila kona ya jiji kutangaza kuwa atakuwa hapa kuongea na wananchi kwenye mkutano wa hadhara.
maswali yangu.
1. Je, ataweza kupata wafuasi kwa jinsi CCM ilivyochoka hapa jijini?
2. Je watamwaga pesa kwa waendesha mapikipiki ili kupamba maandamano kuelekea viwanja vya mkutano kama ilivyo kawaida yao?
mpaka sasa spika za matangazo zinapita kila kona kutufanyia fujo, anatukera sana ambao tuna mambo mhimu ya kutafakari.
binafsi sitahudhuria kwani hana atakaloniambia, wanazi wa CCM, mwende mtupe picha za matukio tuone hali halisi
nawasilisha
Kila siku kila post zinazomhusu Nape ni za kumponda. Ina maana hajawahi kufanya jema hata moja?.
Tuache ushabiki wa kijinga!
Vipi Green guard, leo umepangiwa shift ya asubuhi??Kama hana la kukwambia basi unataka picha za nini? acha unafiki kijana
Komaa kisiasa wewe, siyo kukerwa na kila kitu. Hamia porini basi!