Nape atua Mwanza kwa mkutano wa hadhara

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,904
6,904
Katibu wa majungu wa CCM, Bw. Nape, leo atakuwa Mwanza ambapo tangu juzi wanazi wake walipita kila kona ya jiji kutangaza kuwa atakuwa hapa kuongea na wananchi kwenye mkutano wa hadhara.

maswali yangu.
1. Je, ataweza kupata wafuasi kwa jinsi CCM ilivyochoka hapa jijini?
2. Je watamwaga pesa kwa waendesha mapikipiki ili kupamba maandamano kuelekea viwanja vya mkutano kama ilivyo kawaida yao?

mpaka sasa spika za matangazo zinapita kila kona kutufanyia fujo, anatukera sana ambao tuna mambo mhimu ya kutafakari.

binafsi sitahudhuria kwani hana atakaloniambia, wanazi wa CCM, mwende mtupe picha za matukio tuone hali halisi

nawasilisha
 
Huyo masaburi hatakuwa anafanya mkutano wake katika viwanja gani?sahara,furaisha au magomeni?
 
Kazi ya nepi ni kuhifadhi mavi ya mtoto hana lolote zaidi ya pumba
ila nakushauri uende ili utupe yatakayojili huko!
tunashukuru kwa taarifa mkuu!
 
kazi ya nepi ni kuhifadhi mavi ya mtoto hana lolote zaidi ya pumba
ila nakushauri uende ili utupe yatakayojili huko!
Tunashukuru kwa taarifa mkuu!

unajua mkuu watu wakiwa wengi yeye atajizolea umaarufu kuwa anakubalika? Naamini wapo wanamagamba hapa jf, na lazima watakuja na picha jioni ingawa itategemea na mwitikio wa watu.

Kwa mwazo yangu, naamini watu watampuuza, wataendelea na shughuli zao, hakuna atakayeenda kumsikiliza with exceptional ya wanazi wa ccm hasa wale mungiki wao
green soldiers
 
Kila siku kila post zinazomhusu Nape ni za kumponda. Ina maana hajawahi kufanya jema hata moja?.

Tuache ushabiki wa kijinga!
 
Yes naungana na wengine kusema adui yako msikilize pia unaweza kupata point za kuamka nazo .Nenda msikilize na picha lete utakuwa umetusaidia watanzania wengine ambao hatutakuwa Mwanza .
 
Kila siku kila post zinazomhusu Nape ni za kumponda. Ina maana hajawahi kufanya jema hata moja?.

Tuache ushabiki wa kijinga!

kama amefanya si uanzishe thread ya kumsifia? aliwahi kufanya hayo ili apate upenyo wa kisiasa kabla ya kutishia kuhama chama, akaongwa ukuu wa wilaya akyata mkia, mpaka sasa anatapatapa
 
Katibu wa majungu wa CCM, Bw. Nape, leo atakuwa Mwanza ambapo tangu juzi wanazi wake walipita kila kona ya jiji kutangaza kuwa atakuwa hapa kuongea na wananchi kwenye mkutano wa hadhara.

maswali yangu.
1. Je, ataweza kupata wafuasi kwa jinsi CCM ilivyochoka hapa jijini?
2. Je watamwaga pesa kwa waendesha mapikipiki ili kupamba maandamano kuelekea viwanja vya mkutano kama ilivyo kawaida yao?

mpaka sasa spika za matangazo zinapita kila kona kutufanyia fujo, anatukera sana ambao tuna mambo mhimu ya kutafakari.

binafsi sitahudhuria kwani hana atakaloniambia, wanazi wa CCM, mwende mtupe picha za matukio tuone hali halisi

nawasilisha

Komaa kisiasa wewe, siyo kukerwa na kila kitu. Hamia porini basi!
 
Komaa kisiasa wewe, siyo kukerwa na kila kitu. Hamia porini basi!

nitahama next week. natafuta kampani ili tuanze kuattack from a forest. nimechoka kuandika na kusema tu. yeyote mwenye mawazo kama yangu ya kuhamia porini, ani PM
 
Komaa kisiasa wewe,

MBINU YA CCM pindi wanapoiba kura, kukuhadaa ukubaliane nao, wanakwambia hujakomaa kisiasa. nasema maneno hayo yamefika mwisho. 2015 lazima kieleweke, nyie ndo mtaambiwa komaeni kisiasa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom