ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
Katibu wa majungu wa CCM, Bw. Nape, leo atakuwa Mwanza ambapo tangu juzi wanazi wake walipita kila kona ya jiji kutangaza kuwa atakuwa hapa kuongea na wananchi kwenye mkutano wa hadhara.
maswali yangu.
1. Je, ataweza kupata wafuasi kwa jinsi CCM ilivyochoka hapa jijini?
2. Je watamwaga pesa kwa waendesha mapikipiki ili kupamba maandamano kuelekea viwanja vya mkutano kama ilivyo kawaida yao?
mpaka sasa spika za matangazo zinapita kila kona kutufanyia fujo, anatukera sana ambao tuna mambo mhimu ya kutafakari.
binafsi sitahudhuria kwani hana atakaloniambia, wanazi wa CCM, mwende mtupe picha za matukio tuone hali halisi
nawasilisha