Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.
Pole kaka yangu Nape,mimi nimeamua kutochangia hoja humu JF kwa vile wamejaa mazezeta,vichaa,wanafiki na watu wambea mbea.Namasha na CHADEMA kuwatuma wajisajili JF ili wawe wanaeneza chuki na uadui wa wananchi na CCM pamoja na SERIKALI yao kwa kubeza jitihadi za CCM kujenga uchumi imara.Wamesahau maadili ndiyo msingi wa maendeleo kwa taifa lolote lenye nia ya dhati.
Kila kitu kwa CCM ni kibaya tu?...nimeamini CHADEMA ni chama cha wanaharakati ambao wanajaribu kutumia rafu kupata ridhaa ya kushika dola.....Naapa kupambana na hila chafu za CHADEMA,SIKIKA,LHRC,UAMUSHO nk..kulinda amani ya Tanzania.
Tuonane ili tupange mbinu mpya za kuwashinda waasi hao ...au ni PM sasa hivi jinsi ya kuonana.
 
Nape usitukane wakunga kwa uzazi ungalipo,muda si mrefu utakuwa mteja wa kudumu wa hospitali kama si kansa ya ngozi(kemikali za ngozi unazotumia),matatizo ya kiakili(msongo wa mawazo ulionao),kisukari na presha(kitambi,uzito uliopitiliza,maisha ya kubweteka),majeraha na mivunjiko(ajali na kushambuliwa),magonjwa ya zinaa(mazingira hatarishi na tabia zisizofaa).
Kama si wewe basi ndugu yako,mkeo,mama yako au mwanao atakutana tu na madaktari,na hapo ndipo utawatambua vizuri,kama unabisha muulize JK na Kibonde nini kimewakuta.
Kama huwezi kuwaunga mkono kaa kimya vinginevyo utakuwa adui yao.
 
Akihojiwa na star tv Nepi kadai wanalipwa kutokana na kodi za watanzania na kutowatibu ni kukosa shukrani ya kodi za watanzania. Amewataka wawatumikie watanzania kama wanavyolipwa mishahara inayotokana na kodi za watanzania hao.

Huyu Nape ni janga jingine la taifa. Serikali ya CCM imeshindwa kuboresha huduma za afya nchini. Inalaza wagonjwa kama kuku. Hospitali hazina dawa. Hazina madaktari, hazina manesi, kisha ataka madaktari wawatumikie Watanzania kwa kuwa eti wanalipwa ujira mduchu?

Huu ni uzembe wa viongozi wake – Jakaya Kikwete – waliomuajiri yeye anayenakiri kila anachoambiwa kama Kasuku, kushindwa kulinda rasilimali za umma kwa kuwakamata mafisadi?
Awali kijana huyu alionekana anaweza kuwa mkombozi, kumbe naye ni walewale – walamba miguu na watafuta vyeo.
Anayeshabikia ujinga. Mungu amlaanii Nape na wote wenye mawazo mgando kama yeye.

Leo nimeelewa kwa nini watoto halali wa MZEE NNauye wamemkana kuwa siyo miongoni mwa familia yao.

Nape fahamu kuwa siku itafika tutakupeleka mahakamani wewe na marafiki zao – mnaofadhiri makundi haya ya wahuni - yaliomvamia Dk. Ulimboka. Tunawajua kwa majina.

Hakuna anayejua Rwanda ingefikaje hapo. Lakini imefika. Shabikia haya kwa sababu ya ujira unaolipwa, lakini kesho ni kilio.
 
Yaani haka kanape kanapata fedha nyingi kuliko madaktari, CCM inachekesha kweli. Debe tupu au vuvuzela.
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

Nape,

Dont be this low.........hebu jibu kama mtu mwenye dhamana kwa umma na hiyo CCM yako....majibu haya ndiyo yanayokufanya udharaulike......kwa nini usifafanue tu ulikuwa na maana gani kutoa tamko lile badala ya kulalama kama jini la mwana wa dimdim?
 
Pole kaka yangu Nape,mimi nimeamua kutochangia hoja humu JF kwa vile wamejaa mazezeta,vichaa,wanafiki na watu wambea mbea.Namasha na CHADEMA kuwatuma wajisajili JF ili wawe wanaeneza chuki na uadui wa wananchi na CCM pamoja na SERIKALI yao kwa kubeza jitihadi za CCM kujenga uchumi imara.Wamesahau maadili ndiyo msingi wa maendeleo kwa taifa lolote lenye nia ya dhati.
Kila kitu kwa CCM ni kibaya tu?...nimeamini CHADEMA ni chama cha wanaharakati ambao wanajaribu kutumia rafu kupata ridhaa ya kushika dola.....Naapa kupambana na hila chafu za CHADEMA,SIKIKA,LHRC,UAMUSHO nk..kulinda amani ya Tanzania.
Tuonane ili tupange mbinu mpya za kuwashinda waasi hao ...au ni PM sasa hivi jinsi ya kuonana.
Unashangaza baada ya kuapa kupambana na mafisadi wanaoiba pesa zetu na kupeleka uswiss na wale
wanaouza wanyama wetu wazima na kuwapakia kwenye ndege na walioua mashirika yetu ya umma,wewe
unatangaza kuapa kupambana na CDM,SHAME on YOU" Mapenzi yako kwa ccm yasikupofushe fikra.
 
Naendelea kuwashukuru sana sana kwa matusi na kejeli zenu kwangu......be blessed!!!

Nadhani njia rahisi ya kuacha kutukanwa na hizo kejeli lukuki ni kupiga kimya tu. Unavyozidi kujibu hii thread ndo unazidi kuwapa hasira hawa walimwengu.
Kweli wana hasira na wewe!
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.
unamshukuru nani wewe, mwanga mkubwa wewe, kupewa shangingi basi umekuwa msaliti nkubwa wa uhai wa watanzania,m SHAME ON YOU, SHAME ON CCM, FUC...... YOU NAPE.
 
Ndo maana Nape hajafanya mkutano wa hadhara tangu aje Mbeya loh ..kumbe mwoga hivi! tehe...tehe ...tehe ha ha ha ha ....!
 
Nape hebu kaa kimya maanake wewe nyendo zako zote tunazijua. Unafikiri hatujui kama muda mwingi sana unashinda kwa kimada wako mikocheni b, mtaa wa nyumbu nyumba ya saba.
 
naendelea kuwashukuru sana sana kwa matusi na kejeli zenu kwangu......be blessed!!!

nape fahamu ya kwamba unachokifanya ni propaganda tu za kisiasa lakini ukweli wa maisha ya mtanzania wa leo unaufahamu vya kutosha, ebu niambie ni mheshimiwa yupi leo hii akiumwa atapelekwa muhimbili kutibiwa? Najua hata wewe umebahatika kukulia kwenye familia iliyofaidi keki ya taifa kumbuka kuwa kuna siku utafunua mdomo wako na kupaza sauti ya haki na maumivu ya kundi la watawala. Kila jambo lina wakati wake sikuombei mabaya lakini nina uhakika one day utayaonja kama sio sasa basi hata uzeeni kwako. Ebu niambie kwa rohonyeupe kutoka moyoni kwako, je huo mshahara au posho unazopata zinalingana na unachokifanya kwa taifa? Wewe na yule mkulima anayekopwa korosho zake na malipo yakachelewa na mtoto akakosa ada kwa wakati muafaka nani anaonewa? Umeshawahi kukopwa posho yako au mshahara wako japo kwa mwezi mmoja tu?
 
Akili za huyu jamaa ni very low, hivi yeye ndie anashukrani sana kwa watanzania? Very low, weak, stupid, useless person.
 
Wewe nawe greenstar unashida yako heri ya makelele ya chadema na uanaharakati wao kuliko ukimya na wizi na ukatili wa ccm na kujisafisha kwao kwa wananchi. Hawana tofauti na mchawi ambaye jumapili atakesha kanisani kuomba mpaka analia na ukifika ucku anawangia wenzake na kuwaua, hii haileti maana kwa mungu utabaki ukiwadanganya binadamu wenzako lakini sio mungu, hata nyinyi kuna siku nyeupe na nyeusi zitajitenga na ukweli utabaki kweupeeeee!!
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

Pole sana kaka kama ni kweli hawakulipi salary. Lakini inawawia vigumu sana wananchi wa Tanzania kuamini mtu kama wewe uliyakubaliana na wenzio kuanzisha chama cha CCJ halafu CCM waje wakufanye ubadili uamuzi wako wa kuiendeleza CCJ na kurudi CCM bila ya kulipwa. Yaani propaganda zote unazopiga kwaajili ya CCM ni sawa na kazi ya kanisa bila ya malipo? Hapana na mimi navutika kutoamini, na kama ni kweli hulipwi basi watakuwa wanakutunzia katika zile zilizowekwa kule Uswisi.

Upo utumwani bila ya wewe mwenyewe kujitambua Nape, amka sasa na uende ukaiendeleze CCJ.
 
Duu pole kwa wewe usiye nahuruma na walipa kodi wako sasa ngoja wafe wote tuone kodi mtazipata kwenye makaburi ya Watanzania. Mnatembelelea magari ya kifisadi mlitegemea nini mtapata pesa za kuwalipa MaDr wakati matumbo yenu yamepanuka mpaka Uswis yamefika na kwa taarifa yako tunajua nyie ndiyo mmeshindwa kumuua kamanda wa maDr Ulimboka pole
 
asitake (nape) kutuaminisha vitu ambavyo watanzania wanafahamu kinachoendelea, athari za mgomo wa mdr. linajulikana wazi lakini kama ungekuwa unafahamu shida/matatizo ya watz na kawasemea ili walau wapate matumaini ya kutatuliwa matatizo yao ungekipa credit sana chama chako na mngekuwa na uhakika wa kutawala milele kama wewe unavyojiaminisha but kwa unayoyahuburi kila siku kuhusu mustakabali wa hii nchi ni uropokaji tu tofauti na unyeti wa nafasi yako ndani ya chama,nafasi yako ya kukiua chama ni kubwa
 
Akihojiwa na star tv Nape kadai wanalipwa kutokana na kodi za watanzania na kutowatibu ni kukosa shukrani ya kodi za watanzania. Amewataka wawatumikie watanzania kama wanavyolipwa mishahara inayotokana na kodi za watanzania hao.

Wazo langu.

Nape analipwa na nani na mshahara wake je unamuhimu kama wa mshahara wa dakatari kitaifa??

Please Nape acha kuongea vitu visivyo na mantiki, serikali na chama chako inabidi muheshimu taaluma za watu na wala sio kutumia maneno kama yako eti ili madaktari wajisikie vibaya au dhamira iwasute.
Mbona Wanajeshi hamuwalipi kama mnavyofanya kwa Madaktari, Polisi na Waalimu...au wao mishahara yao ndio zile asilimia za ufadhili wa mataifa na taasisi wahisani?
 
njoo na hoja kwanini proffesionals hawalipwi vizuri kama wanasiasa?kwanini wakuu wa wilaya,mikoa,wakurugenzi,wabunge na vyeo vingine vya kisiasa vina maslahi kuliko wataalam wetu?mnaposema serikali haina pesa tuone kwa wote sio kwa baadhi ya waajiriwa.wewe ndo katibu mwenezi kweli unakuja kulalamika baada ya kuja na hoja!umepoteza heshima uliyoipata miaka 4 iliyopita,wamekuhonga cheo ili wakuue na wamefanikiwa unaongea senseless things,yani hutofautiani na lusinde.muda umefika ku-review elimu yetu maana kama masters holder anaongea pumba ni hatari.umepoteza heshima yako ndo mana unatukanwa,lini umeona mwandosya anatukanwa humu?so sad kufa kisiasa at your age.mwambie na le-mutuz is next kwa mwenendo wake huu wa sasa.
 
Back
Top Bottom