Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

Nape alijisahau, wanaosomeshwa bure ni akina Riz1, Nape Nnauye na mitoto mingine ya viongozi wa Magamba ambao wanawekwa madarakani kwaajili ya kulinda madudu ya wazee wao wakati wapo madarakani.
 
Kwa hiyo ukisomeshwa 100% na serikali ndio ulipwe isivyolingana na kazi yako? Kwani serikali inapata wapi pesa ya kusomesha watoto kama sio kuwatoza kodi wazazi wao?
 
NI MNAFIKI SANA ANAHANGAHIKA SABABU ANAJUA SIKU ZAKE ZINAHESABIKA
HAJUI MAFISADI ANAOWASEMA WANAMILIKI40% YA VODACOM NA HAO MABWANA NI WAFADHILI WAKUU WA CCM SASA LOWASA KAENDA ZIARANI FOR 14 DAYS,CHENGE NI MWENYEKITI WA KAMATI YA FEDHA,LOWASA NI MWENYEKITI KAMATI YA MAMBO YA NJE ROSTAM ANAZIDI KUCHIMBA MADINI KULE KAHAMA MITAMBO YAKE IN TENDER YA MAISHA SASA NAPE UTAPONEA WAPI SIKU 90 ZIMEKUSHINDA NA HAO MAFISADI WANAJIPANGA KUCHUKUA CHAMA NA CCM HAINA UBAVU WA KUWATEMA HAWA SABABU WANAWAJUA SANA MKIHONGWA KIDOGO MNAGEUKANA SASA USICHEZE NA HAO WATU UTAANGAMIA NA KUPOTEA KWENYE ANGA ZA SIASA NENDA KULE CCJ MLIPOANZISHA CHAMA CHENU POLE SANA NA WACHA KULALAMIKA HUKUPANGA MAMBO YAKO VIZURI POLE KWA MAUMIVU YA KUAMBIWA UKWELI
:embarassed2:
 
08_10_hxqb4f.jpg
 
"Hakuna daktari aliyesoma kwa 100% bila serikali kumsaidia" maneno ya Nape akiongea na waandishi wa habari jijini mbeya. hivi serikali ya Tanzania imemsomesha nani na lini? mimi ni kati ya watu tuliofukuzwa pale udsm mwaka 2007 kisa nilishindwa kulipa 40% eti wewe Nape unajishaua kwa kusema kuwa serikali inachangia masomo ya madaktari na watanzania. kama mnawasaidia watanzania ni kwanini mlianzisha kile kirusi HESLB? mimi mnavyojua ukimsaidia mtu wala huna haja ya kudai, mbona kaserikali dhaifu ka CCM kanawadai wanaolipa kodi, walipe mikopo iliyowapoesha wakiwa wanasoma elimu ya juu? Nape Nnauye labda wewe na mafisadi wenzio ndio mlisomeshwa na kaserikali kenu, ndio maana hamna uchungu na Nchi hii MNAROPOKA ROPOKA TU.

Madaktari wanalipiwa asilimia 100% na hawadaiwi, labda kama wameenda kuzoma IMTU, sasa kama hujui hii nani NDUDU wewe au Nape?
 

Madaktari wanalipiwa asilimia 100% na hawadaiwi, labda kama wameenda kuzoma IMTU, sasa kama hujui hii nani NDUDU wewe au Nape?

Msamehe ukoo wao wote hawawezi ku raise 40% ya milioni moja mwaka mzima unategemea akili zake zitakuwaje?
 
Nani kawambia Drs wanasomeshwa bure? Nendeni Loan board mkaone madeni na kila mwezi wanakatwa kwenye mshaara kulipia deni, sasa ukikopeshwa bank , bank itajitapa kuwa imekusaidia?
 
anaongea kwa huruma kama anamaanisha kile akisemacho kumbe anaigiza mpuuzi huyo na akae akijua njaa anayoiendekeza itamhukumu hapa hapa duniani!.
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.
Kuna tofauti ndogo sana kati ya uwezo wa kufiri wa Nape Nnauye na Job Lusinde. Hivi huwa mnajiandaa kabla ya kuzungumza au mnazungumza kwa kuwa mnataka kuzungumza? Si mara zote lazima uzungumze maana hata kukaa kimya ni kuzungumza kwa busara.
 
jina lake lenyewe ata halieleweki nape nnauye sa ndo nini??


Huyu jamaa kwa uvuvuzela wake na upuuzi anaoropoka kila siku mimi humwita NEPI NAYE. Huyu jamaa hakika ni NEPI za watoto ambazo zimejaa mikojo na mimavi. Ndivyo alivyo Bwana Nepi. Very bogus!

Haya majitu ya CCM yanasumbuliwa na mzimu wa laama ya Mwl.Nyerere.Mijitu yote imekumbwa na mtindio wa ubongo. Wamekuwa ni wapayukaji tu hawajui hata wanachofanya katika nchi hii.

Nchi hii imechukuliwa na wanasiasa ambao hawajui hata maana ya THAMANI YA SHULE KWA MAANA YA KWAMBA ALIYESOMA SANA KAMA DAKTARI NDIYE ANAYEPASHWA KULIPWA VIZURI NA SI VINGINEVO. Lakini kinyume chake wanasiasa wa nchi hii ndo highly paid! Nonsense!
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

Tatizo lililopo hapa ni kwamba mgomo huu unahusishwa na siasa. madoctor wanatumiwa ama kwa kujua ama kutokujua na ni kwa lengo la kutimiza matakwa ya kundi ama chama fulani. Watanzania walio wengi wamebebwa na mawazo ya mabadiliko bila kujua vizuri wanataka mabadiliko ya namna gani. Ni ngumu kueleweka kwa sasa ila ni hekima CCM ikaachia madaraka kwa muda ili chama kingine kitawale, na ndipo watanzania wataikumbuka na kuililia tena CCM.
 
nape na ccm yake wengine wabaki na chadema yao tunachohitaji ni wanataaluma serikali itusikilize ccm chadema wote n wlwl
 
Pole kaka yangu Nape,mimi nimeamua kutochangia hoja humu JF kwa vile wamejaa mazezeta,vichaa,wanafiki na watu wambea mbea.Namasha na CHADEMA kuwatuma wajisajili JF ili wawe wanaeneza chuki na uadui wa wananchi na CCM pamoja na SERIKALI yao kwa kubeza jitihadi za CCM kujenga uchumi imara.Wamesahau maadili ndiyo msingi wa maendeleo kwa taifa lolote lenye nia ya dhati.
Kila kitu kwa CCM ni kibaya tu?...nimeamini CHADEMA ni chama cha wanaharakati ambao wanajaribu kutumia rafu kupata ridhaa ya kushika dola.....Naapa kupambana na hila chafu za CHADEMA,SIKIKA,LHRC,UAMUSHO nk..kulinda amani ya Tanzania.
Tuonane ili tupange mbinu mpya za kuwashinda waasi hao ...au ni PM sasa hivi jinsi ya kuonana.
hii ni lugha ya mafisadi ,madkteta, wanyonyaji wakubwa dhidi ya wadai haki,haya nendeni huko mkaliwazane,ila mwisho wenu ni 2015;
 
Back
Top Bottom