Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

Pitieni paper yake ya masters kama hajadesa, huyu jamaa zero kabisa. Yeye ndo hana shukrani kwani analipwa na fedha la walalahoi halafu hataki kutetea mazingira bora ya walalahoi kutibiwa, dawa, vifaa pamoja na wanaowatibu walalahoi kufanya tiba kwa moyo huku akiachia watu waibe mabilioni na kuhifadhi uswisi na visiwa gani cjui huko na kuviita vijisent kisha haohao kuwapa uenyekiti wa kamati ya bunge ya fedha na uchumi. Hatuoni aibu. Kwanza aseme uvuaji gamba umefikia wapi?

Mkuu naunga mkono hoja kwa asilimia mia
 
Nape Nauye hana akili hata chembe kwakuwa anafikiri yeye kuwa na degree ya MBA (corporate management aliyoichakachua pale Mzumbe campus ni sawa na madaktari walivyoisotea kwa miaka zaidi ya mitano? ni lazima asome na aalewe kuwa theories za labor maarket zinatambua remunaration (mishahara na level of education of a person.
 
By the way ninajua kuwa kumuombea mtu mabaya ni makosa makubwa na ni dhambi lakini kwa hakika ninatamanai mungu awachukue akina Nape, Pinda, Lukuvi, Kikwete, akina Job Ndugai spika Makinda Mkuchuika yaani wote wafe hata ikiwezekana kwa ajali tu ili rasilimali zetu na vizazi vijavyo vipate kuishi na kufaidi maendeleo
 
Mkuu naunga mkono hoja kwa asilimia mia

Yeye ni nape ni nani?je ni Mungu? la hasha ni mtu wa kawaida sana aliezaliwa kwenye familia yenye pesa hajapata taabu na misukosuko kama waliyopipitia madaktari ki masomo. Yaye ni kati ya watu wachache waliochakachua degree pale mzumbe campus
 
huyu jamaa aitwae Nape sijui angefanya kazi gani maishani kama vyama vya siasa vingefutiliwa mbali na nchi kuongozwa na wanajeshi au professionals
 
NI MNAFIKI SANA ANAHANGAHIKA SABABU ANAJUA SIKU ZAKE ZINAHESABIKA
HAJUI MAFISADI ANAOWASEMA WANAMILIKI40% YA VODACOM NA HAO MABWANA NI WAFADHILI WAKUU WA CCM SASA LOWASA KAENDA ZIARANI FOR 14 DAYS,CHENGE NI MWENYEKITI WA KAMATI YA FEDHA,LOWASA NI MWENYEKITI KAMATI YA MAMBO YA NJE ROSTAM ANAZIDI KUCHIMBA MADINI KULE KAHAMA MITAMBO YAKE IN TENDER YA MAISHA SASA NAPE UTAPONEA WAPI SIKU 90 ZIMEKUSHINDA NA HAO MAFISADI WANAJIPANGA KUCHUKUA CHAMA NA CCM HAINA UBAVU WA KUWATEMA HAWA SABABU WANAWAJUA SANA MKIHONGWA KIDOGO MNAGEUKANA SASA USICHEZE NA HAO WATU UTAANGAMIA NA KUPOTEA KWENYE ANGA ZA SIASA NENDA KULE CCJ MLIPOANZISHA CHAMA CHENU POLE SANA NA WACHA KULALAMIKA HUKUPANGA MAMBO YAKO VIZURI POLE KWA MAUMIVU YA KUAMBIWA UKWELI
:embarassed2:
 
Akihojiwa na star tv Nepi kadai wanalipwa kutokana na kodi za watanzania na kutowatibu ni kukosa shukrani ya kodi za watanzania. Amewataka wawatumikie watanzania kama wanavyolipwa mishahara inayotokana na kodi za watanzania hao.

Wazo langu.



Nape analipwa na nani na mshahara wake je unamuhimu kama wa mshahara wa dakatari kitaifa??

Kama hizo hospitali hamna hata sindano za kuwawekea wagonjwa dripu za Shs 250/=, hamna pampu za kuwanyonua vichanga maji machafu wayanywayo wakati wa kijifungua zinzouza Shs 3000/= n.k madakatari wataendeleaje kuvumilia kuwaona watanzania wenza wakipoteza maisha kwa sababuz zisizo za msingi? Ni heri watanzania wachache wapoteze maisha katika migomo i hii ili hatimaye maboresho ya sekta ya afya yafanyike ili kunusuru maisha ya maekfu ya watanzania uyanayopotea kila mwaka ilihali viongozi wa CCM kama akina Nape wakijilundikia mafedha huko Uswisi
 
wewe nape (nepi)hatukutukani tunakueleza ukweli nchii imekosa mvuto imekosa amani na haina watu wakuweza kubadili hili ndani ccm kwa sababu samaki mmjoa akioza wote wameoza. wewe si mkweli ni muongo na muhuni tu ambae anapaswa kupuuzwa yaani hata huyo aliekupa kazi ya kuongea hayo ambayo umekuwa ukiyaongea anajua wewe ni kilaza kwa kuwa hata yeye ni kilaza. Tunahitaji madiliko ya kiuongozi, kitaasisi, kisiasa na kimuundo and I can not see you and your CCM part being part of the process. Ninaamini mungu ni wa wote na ni mwaminifu na husikia vilio vya wajane wenye njaa na wenye matatizo mbalimbali nina matumaini kwa mungu kuwa siku moja nyie CCM mtatoka madarakani na Tanzania itakuwa taifa huru tena. Kilichotokea Misri, Libya , kenya ninakuja Tanzania. Eee mungu tusaidie kukiua hiki chama kinachoitwa CCM
 
NIMEHUZUNIKA KWA KATIBU MWENEZI NA ITIKADI UNAJIBU MAJIBU YA KUTIA HURUMA, Usitake tukuonee huruma, ELEZA HOJA, Sijaona mtu hata mmoja kwenye hii thread aliyepumbazwa na maneno yako ya kutia huruma, JIBU HOJA KATIBU, we are all great thinkers, na siyo maneno ya kutaka uonewe HURUMA,

Ukiona watu wote wapo against you, jaribu kurudi na kujiangalia na ikiwezekana kusaihishwa,,

KWANINI UWE WEWE TUU, ACCEPT CHALLENGE NAPE.
 
Nawashukuru sana, NAWASHUKURU SANA KWA MATUSI NA KEJELI ZENU. NI KAMA VILE MNAJUA KAMA NALIPWA MSHAHARA AU LA! NARUDIA NAWASHUKURU SANA SANA..... BE BLESSED KWA MATUSI NA KEJELI ZENU ZOTE KWANGU.

Bwambwa wewe
 
We Nape sometime uwe unaangalia hali imekaaje make si kila jambo hata la kitaalamu linahitaji propaganda za kijinga namna hiyo, utazidi kushusha hadhi yako ikiwemo kuchafua chama chako hivi hivi.Dogo uwe unasoma matukio usisikie tu na kuruka hewani.Hebu nikuulize, umemsikia baba mwanaasha anaropoka? bado anasoma mood ya watanzania ili aweze kutoa neno ambalo litakuwa limekaa sawa na myoyo ya watz wengi hususani ukizingatia kwamba Govt na chama chako kimehusika direct na sasa mnaunda tume ya kupoteza ushahidi. yaani ninyi kuua kwenu raha mumeua chacha wangwe, ukerewe na ilemela mmewakosakosa wabunge wao, mwakyembe mmemiss round ya 1ya gari, hii ya pili najua mnamliwaza tu na uwazri lakini mnajua jeneza na bendera viko tayari, rafiki yangu prof mwandosya naskia ni nyie haohao CCM na Usalama(majambazi) ya taifa, Prof wetu wa katiba mkammaliza nyie haohao kisa mgombea binafsi na leo mnashadadia ajenda iliyofanya mumuondoshe duniani, Balali mkamficha na kutudanganya ati amekufa huku payroll za BOTmpaka sasa inaonyesha yuko hai na analipwa mshahara, ndugu yangu kigwangala wa nzega naye nasikia naye yuko kwenye rada zenu anytime mnaweza kumchacha wangwe. sasa mnataka nani awatetee watanzania, basi tujengeeni godown mtuweke humo tusione ya nje ya dunia. shame on you. you will visit the hell one day
 
Pole kaka yangu Nape,mimi nimeamua kutochangia hoja humu JF kwa vile wamejaa mazezeta,vichaa,wanafiki na watu wambea mbea.Namasha na CHADEMA kuwatuma wajisajili JF ili wawe wanaeneza chuki na uadui wa wananchi na CCM pamoja na SERIKALI yao kwa kubeza jitihadi za CCM kujenga uchumi imara.Wamesahau maadili ndiyo msingi wa maendeleo kwa taifa lolote lenye nia ya dhati.
Kila kitu kwa CCM ni kibaya tu?...nimeamini CHADEMA ni chama cha wanaharakati ambao wanajaribu kutumia rafu kupata ridhaa ya kushika dola.....Naapa kupambana na hila chafu za CHADEMA,SIKIKA,LHRC,UAMUSHO nk..kulinda amani ya Tanzania.
Tuonane ili tupange mbinu mpya za kuwashinda waasi hao ...au ni PM sasa hivi jinsi ya kuonana.

Infact you are not different from Nape. Nani kakuambia nchi hii kuna maadili? jE CCm wana maadili?yakupeleka pesa Uswis? ya kutaka kumuua Dr Ulimbuka? Je wewe unaemtetea Nape Una akili na maadili kweli? una jua maana ya maadili? je CCM inajenga uchumi wenye maadili kama wewe unavyoidai? angalia tofauti ya kipato (income gap) angalia mambo ya msingi yanayoleta maendeleo.Je Tanzania haya mambo yapo?
 
"Hakuna daktari aliyesoma kwa 100% bila serikali kumsaidia" maneno ya Nape akiongea na waandishi wa habari jijini mbeya. hivi serikali ya Tanzania imemsomesha nani na lini? mimi ni kati ya watu tuliofukuzwa pale udsm mwaka 2007 kisa nilishindwa kulipa 40% eti wewe Nape unajishaua kwa kusema kuwa serikali inachangia masomo ya madaktari na watanzania. kama mnawasaidia watanzania ni kwanini mlianzisha kile kirusi HESLB? mimi mnavyojua ukimsaidia mtu wala huna haja ya kudai, mbona kaserikali dhaifu ka CCM kanawadai wanaolipa kodi, walipe mikopo iliyowapoesha wakiwa wanasoma elimu ya juu? Nape Nnauye labda wewe na mafisadi wenzio ndio mlisomeshwa na kaserikali kenu, ndio maana hamna uchungu na Nchi hii MNAROPOKA ROPOKA TU.
 
wagonjwa.jpg wagonjwa.jpg
 
Back
Top Bottom