Nape asema Edward Siyo msafi

Nape asema Edward Siyo msafi

Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.

jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.

NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....

Akili ya kawaida sio jambo la kawaida. Over...
 
Usafi wake uko wapi fisadi mkubwa huyo .
 
Wewe nae unajiita thinker nyau.tofautusha mtu kutaka kuongoza nchi na yule mtu just to keep the family happy. Mlungo wewe Dvs 5.

Swissme

swala usafi halina nchi usafi unaanzia kwako mwenyewe,wacha porojo hapa,ukizoea kuiba utaiba kadri unavyopata nafasi.
 
Waziri mkuu yupi tanzania alishawahi fukuzwa kazi! Historia haidanganyi, nyerere alishasema hafai ni mwizi, leo hii unataka kutuaminisha kuwa anafaa, kamjaribu kwenye biashara zako ila si kwa nchi
 
Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.

jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.

NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....

watoto wa mafisadi mnakazi kweli ya kusafisha baba zenu mwaka huu pleni sana.
 
Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.

jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.

NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....

ndio nini sasa? eleza unataka kumchafua lowasa ama kumsafisha
 
Waziri mkuu yupi tanzania alishawahi fukuzwa kazi! Historia haidanganyi, nyerere alishasema hafai ni mwizi, leo hii unataka kutuaminisha kuwa anafaa, kamjaribu kwenye biashara zako ila si kwa nchi

Hafai kwa lolote lile ni fisadi asiyefaa kabisa.
 
Uchafu wa wengine hauwezi kumsafisha Lowasa. Lowasa ni fisadi. Kwisha
 
Hii vita inanikumbusha mwaka 2005 pale kundi fulani liliposema aah mh huyu hafai ana wanawake kibao kundi lingine kwa kuwa lilikuwa linampenda na ni wengi wakasema huo ndiyo urijali

Acha movie liendeleee
 
Sasa nimeanza kuamini juu ya mtumishi wa Mungu tb joshua kutabiri kuwa mmoja wapo wa mwanasiasa maarufu ataenda kuwa rais wa tano wa taifa hili. Tunachosubiri ni utabiri utimie kama Mungu aishivyo maana dalili zoote zinaonyesha ule utabiri ni wa kweli..
 
Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.

jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.

NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....

Toto jinga sana wewe! Kwa hiyo unataka aachwe kwa kuwa wengine si wasafi pia?!

Ndiyo maana wasiyo safi wamekaa pembeni! Wakijitokeza watasemwa pia!
 
kwa mjibu wa torati aliye fanya zinaa asubuhi afu akaoga jioni anakuwa tayari katakasika.
 
Kabla 'Dhaifu' hajawa Rais nilisikia mengi mabaya juu yake: 'alimfunga fulani na wanae'; ni mwenda disco; 'Nyerere alisema hawezi'....Ilipofika wakati wa kampeni za urais vyombo vya habari vilivyo rasmi na visivyo vikakoma kuongelea habari za Mr. 'Dhaifu'. Kwa uzoefu huo EL anajua historia kama hii itajirudia. Kiukweli Mr. 'Dhaifu' siyo dhaifu walio dhaifu ni watanzania kutokana na sababu nyingi. Nasema tena kwa mtandao huu ccm waweza kufanya lolote ilimradi wasalie madarakani hata Kwa Rais aliye na historia chafu kama ya EL. It is hard even for me to believe this and i continue to pray that it should not happen. my aspirations is to see new Tanzania being ruled with a new visionary political party.

Mkuu,

Asante ku-retrieve huu uzi.
 
je wewe usafi wako upo wapi??

Hivi unabishana nini?! We Lowassa awe msafi, asiwe msafi huna uwezo wa kubadili chochote! Maamuzi ya nani aongoze TZ yapo mikonon mwa watz na sio swala la kikund fulan kama "mapacha watatu" watuamulie watz milion 50!
 
Magamba wote wachafu ndio maana Lowassa anachanja mbuga kuelekea 2015...Hakuna hata mmoja wa kumnyooshea kidole na kumwambia, "Kwa ufisadi ulioufanya nchi hii kamwe haustahili kupewa ridhaa na Watanzania ili kuwaongoza, hivyo kaa pembeni."

Mkapa mchafu, Mwinyi mchafu, Kikwete mchafu, SAS naye walishamchafua DHAIFU na kundi lake la mtandao, kwa UDHAIFU huo mkubwa uliopo ndani ya magamba Lowassa anajua watasema pembeni tu lakini hadharani wanaogopa kumkemea maana nao pia ni watenda dhambi hivyo ameanza kutoa rushwa mapema sana ili kujisafishia njia ya kwenda Ikulu 2015. Sijui mpaka tunafika October 2015 atakuwa ametumia mabilioni mangapi katika kutoa rushwa ili kununua ULAIS...Siyo siri nchi yetu imeoza!!!

Mkuu hapo kwa mkapa umeongea ukweli ..si unajua alimuua nyerere. .hiyo dhambi itamtafuna milele
 
je wewe usafi wako upo wapi??

Hivi unabishana nini?! We Lowassa awe msafi, asiwe msafi huna uwezo wa kubadili chochote! Maamuzi ya nani aongoze TZ yapo mikonon mwa watz na sio swala la kikund fulan kama "mapacha watatu" watuamulie watz milion 50!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom