Nape asema Edward Siyo msafi

Nape asema Edward Siyo msafi

Waziri mkuu yupi tanzania alishawahi fukuzwa kazi! Historia haidanganyi, nyerere alishasema hafai ni mwizi, leo hii unataka kutuaminisha kuwa anafaa, kamjaribu kwenye biashara zako ila si kwa nchi

Kwani nyerere yeye ndie alikuwa kipimo cha usafi?
 
Hivi unabishana nini?! We Lowassa awe msafi, asiwe msafi huna uwezo wa kubadili chochote! Maamuzi ya nani aongoze TZ yapo mikonon mwa watz na sio swala la kikund fulan kama "mapacha watatu" watuamulie watz milion 50!

Mwaka 2005 kuna brigedia mmoja alikuwa anasema waziwazi kuwa JK ni playboy na hawezi kupewa nchi. ....kilichotokea kila mtu anajua
 
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.

Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.

Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.

Nawalaumu watu wasiosoma alama za nyakati. Chatu huwa hamfukuzi mbwa bali mbwa mwenyewe kwa kujipendekeza kwake humsogelea chatu hadi anakamatwa. Ukimwandama mtu aliyetangaza nia ikaja ikatokea akafanikiwa kupata hicho alicho alichotangazia nia wale waliomwandama watakuwa katika hali gani.
 
Wanaompinga Lowasa wanasema anawalipa watu kuhudhuria/kumpokea kila aendapo. Kwanza nilitaka kuamini hivyo, lakini baada ya kufuatilia kwa makini kwenye TV, inaonyesha wazi kuwa jamaa ni kweli kabisa anamvuto mkubwa kwa watu na anapendwa. Naona itakuwa marudio ya Afrika Kusini. Zuma alipigwa sana vita kama hivi Lowasa lakini nguvu ya watu ikamuingiza madarakani. Inaonyesha mvuto wake unapita hata ule wa JK 2005*!!!
 
sera za nyerere zilikuwa kwenye ujamaa tu na kumbukumbu zinaonesha kuwa sera zilimshinda hivyo akatoka madarakani tz ikiwa maskini kabisa nchi akawa inapelekwa kibepari sasa msimamo wa lowasa na ni ubepari ambao nyerere haujui kabisa hivyo bepari na mjamaa hawahivi kumbuka maneno ya nyerere ni fikra zake tu na zinazo mapungufu yake hivi hayana mashiko kisheria.
 
Mtu yeyote anayetumia pesa kusaka madaraka ni kuogopwa kama Ukoma mpelekeni ujumbe huyu mchafu mwenzenu.ikulu siyo pango la mafisadi.
 
waliompiga mawe tarime wametumwa na NAPE? acha unafiki sema ukweli hata kama unauma.
 
Sasa nimeanza kuamini juu ya mtumishi wa Mungu tb joshua kutabiri kuwa mmoja wapo wa mwanasiasa maarufu ataenda kuwa rais wa tano wa taifa hili. Tunachosubiri ni utabiri utimie kama Mungu aishivyo maana dalili zoote zinaonyesha ule utabiri ni wa kweli..

hauwezi kuwa kiongozi bora kama wewe unajiona ni bora zaidi ya wale unaowaongoza,ilo ndo ttz la LOWASA anajiona yeye ndo bora kuliko wengine hata bila aibu anawafukuza wanachama wa chama chake kisa anajiona yeye ndo bora.kwa hali hiyo unajenga au unabomoa then unategemea chama kikupitishe kuwa mwenyekiti wa chama,hazimtoshi.
 
Yaani Lowassa asipopita uchaguzi huu maisha ya wengi hatarini.. Duh ama kweli tutashuhudia ng'ombe tasa hazai japo ana nguvu kubwa!
 
Waziri mkuu yupi tanzania alishawahi fukuzwa kazi! Historia haidanganyi, nyerere alishasema hafai ni mwizi, leo hii unataka kutuaminisha kuwa anafaa, kamjaribu kwenye biashara zako ila si kwa nchi
na mavi mtajinyea mwaka huu
 
hauwezi kuwa kiongozi bora kama wewe unajiona ni bora zaidi ya wale unaowaongoza,ilo ndo ttz la LOWASA anajiona yeye ndo bora kuliko wengine hata bila aibu anawafukuza wanachama wa chama chake kisa anajiona yeye ndo bora.kwa hali hiyo unajenga au unabomoa then unategemea chama kikupitishe kuwa mwenyekiti wa chama,hazimtoshi.
nfio ni nora kwani uongo?
 
Lowassa ni chaguo la Mungu kwetu sisi watanzania wapenda maendeleo
 
Majukumu ya Nape CCM ni tofauti na anachokisema juu ya EDO. Kama ni msimamo wake binafsi basi yawezekana inatokana na chuki binafsi. Ni sababu zipi zilimperekea kujiuzulu uongozi kwenye umoja wa vijana? kwa nini alipokea tena offer ya ukuu wa wilaya kazi ambayo inafanywa na makada wa ccm?

Kuna mawali mengi ya kumuuliza Nape kuliko majibu mepesi anayotoa
 
mi nadhani tusiogope maana kuwa safi isiwe sifa mojawapo maana hata Baraba hakuwa safi japo alifunguliwa na Yesu aliyekuwa safi akasurubiwa. kama rais ni kiongozi wa watu basi tumpe anayependwa na watu ili akiharibu tujilaumu wenyewe. Ila tukijaguliwa mtu tutawalamu na kuwalaani hao watakao tuchagulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom