akiongea na makutanoshow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia ccm baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake cc na nec siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu lowassa kwamba siyo msafi na hata nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
nape kapanic, walipanga benard amuachie jimbo lake na amsaidie kupata ubunge...sasa mambo magumu teh teh...majambazi yanapigana yenyewe polithi tunaweka silaha chini tunapata moja moto moja baridi..yakichoka tuyapiga pigu then tunatangaza ushindi