mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,503
- 252
kumbe CDM wasikivu eeeh manake ni juzi tu tumepiga kelele humu jamvini kuhusu kudorora kwa Idar ya Uenezi CDM kwamba imekufa. Wasikilize na mengine pia kama vile kumuunga mkono ZZK kuhusu kususia miposho.Uteuzi huu unaonyesh kwamba CDM wako determined kuwaachia vijana madraka kama walivyofany akina Mzee Mtei na Bob Makani. Pale juu yaani Ukatibu mkuu ama uenyekiti waruhusu vijana wachukue nafasi mojawapo!
cdm wapo makini sasa .....
kwanza viongozi wake wengi ni vijana
pale juu hapana shida maana kwanza wazee ni wachache