Nape ampa salamu Mnyika kwa uteuzi !

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
[h=6]Salaam za Nape kwa Mnyika!

Mhe. John Mnyika Hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema! Welcome to the club ya waenezi wa Vyama!

Ninamatuamaini tutaendesha siasa za hoja katika ushindani, huku tukiweka masilahi ya nchi yetu mbele! Naamini uteuzi wako ni inshara ya Chama chako kutambua uwezo wa vijana katika kuleta mageuzi ya kweli ndani ya vyama vya siasa na taasisi mbalimbali nchini!

Nakutakia kila lakheri katika utumishi wako!
[/h]My take : Huu ndio uungwana na tofauti za kisiasa zisiwe ni uhasama
 
hizi salaam umekopi au umetoa wapi? Isije kuwa umeandika kwa niaba yake, au labda geniusbrain=nape nnauye

Just thinking
 
Jamani nimejitahidi sana kutafuta CV ya Mnyika sijafanikiwa kuipata.

Naomba mtu yeyote mwenye profile yake atuwekee tuione na kuona ana shule kiasi gani?
 
Salaam za Nape kwa Mnyika!

My take : Huu ndio uungwana na tofauti za kisiasa zisiwe ni uhasama

Hongera yako ni sawa!!!lakini kwa imani yangu,Mnyika na Nape ni mlima na kichuguu!!!!Nape bado sana kwa siasa za Tanzania!!!
 
Hii ndio siasa tunayoitaka ya ushindani, kupongezana na sio kutukanana, tushindane kwa hoja na sio propaganda
 
Safi sana Nape kijana wa Nnauye,Siasa sio ugomvi,siasa sio vita,ni mfano mzuri wa kuigwa,tupambane kwa hoja zenye mashiko sio kurushiana risasi na matusi

hongera kiongozi nadhani sasa unaanza kufuata nyayo za baba yako,achana na siasa za visasi
 
Hamna Lolote,Nepi anajaribu kujipendekeza na kujifananisha na mkuu mnyika!

wewe ulitaka afanyaje? amtukane na kumbeza? mbona bado tunasiasa za IDD AMIN DADA jamani? tubadirike na tuwe wepesi wa kuelewa kuwa hili yes hili no,sio kila jambo ni kupinga na kutukana na kubeza
 
[h=6]Salaam za Nape kwa Mnyika!

Mhe. John Mnyika Hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema! Welcome to the club ya waenezi wa Vyama!

Ninamatuamaini tutaendesha siasa za hoja katika ushindani, huku tukiweka masilahi ya nchi yetu mbele! Naamini uteuzi wako ni inshara ya Chama chako kutambua uwezo wa vijana katika kuleta mageuzi ya kweli ndani ya vyama vya siasa na taasisi mbalimbali nchini!

Nakutakia kila lakheri katika utumishi wako!
[/h]My take : Huu ndio uungwana na tofauti za kisiasa zisiwe ni uhasama
Katika club hiyo mwenezi wa CHADEMA hayupo, hatuwezi kuwa ktk club moja na wezi wa kura.
 
Wewe ni Katibu Mwenezi wa Nape? au Kiherehere imekutuma upost upuuzi wako humu!

Salaam za Nape kwa Mnyika!

Mhe. John Mnyika Hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema! Welcome to the club ya waenezi wa Vyama!

Ninamatuamaini tutaendesha siasa za hoja katika ushindani, huku tukiweka masilahi ya nchi yetu mbele! Naamini uteuzi wako ni inshara ya Chama chako kutambua uwezo wa vijana katika kuleta mageuzi ya kweli ndani ya vyama vya siasa na taasisi mbalimbali nchini!

Nakutakia kila lakheri katika utumishi wako!

My take : Huu ndio uungwana na tofauti za kisiasa zisiwe ni uhasama
 
Safi sana Nape kijana wa Nnauye,Siasa sio ugomvi,siasa sio vita,ni mfano mzuri wa kuigwa,tupambane kwa hoja zenye mashiko sio kurushiana risasi na matusi

hongera kiongozi nadhani sasa unaanza kufuata nyayo za baba yako,achana na siasa za visasi
Siasa kwa ccm ni ugomvi huoni kinachofanyika arusha? acheni blaa blaa kama siasa sio vita mbona wanaua wanachadema Arusha, Igunga, Mbeya. Nape aache unafiki kama ana nia kweli angepinga matukio ya ajabu ya ccm na sio kujipendekeza kwa CHADEMA.
 
Jamani nimejitahidi sana kutafuta CV ya Mnyika sijafanikiwa kuipata.

Naomba mtu yeyote mwenye profile yake atuwekee tuione na kuona ana shule kiasi gani?

Parliament of Tanzania. Its blank though!

Ila simply, Shule ya msingi mwaka 1994 ndio alituongozea Dar Es Salaam alipata marks 149/150. Hesabu ndio alipata 49/50. Akachaguliwa kwenda Ilboru lakini akasoma O-Level Maua Seminary alipata A tisa so ni Div One point saba. A - Level akasoma Tambaza (EGM) alipata Div 2 nafikiri, hakufanya vizuri ndio siasa zilikuwa zimeanza na dini TYCS.... Chuo alisoma UDSM kama sikosei course mojawapo za evening classes (not sure lkn for ths na haswa kama alimaliza course yenyewe). Ila alisoma na diploma pale Chuo cha displomasia!
 
Jamani nimejitahidi sana kutafuta CV ya Mnyika sijafanikiwa kuipata.

Naomba mtu yeyote mwenye profile yake atuwekee tuione na kuona ana shule kiasi gani?
We Barubaru vipi, CV ya Mheshimiwa Mnyika ilsha wahi kuwekwa hapa siku nyingi labda sema mwenye kumbukumbu akuwekee uweze kuperuzi!!!!!!
Hongera Mhs Mnyika kwa kazi hiyo mpya ya kuimalisha CDM ALUTA CONTINUA!!!!!!!!

Erasto Tumbo kapelekwa wapi? Wenye habari watueleze maana kumbukumbu zangu zinaonyesha yeye ndiye alikuwa anaishika hiyo nafasi.
 
hizi salaam umekopi au umetoa wapi? Isije kuwa umeandika kwa niaba yake, au labda geniusbrain=nape nnauye

Just thinking

Nadhani ndo yeye kwani kasikia kuwa kapotea aonekani ameanza kuja kwa njia ya salamu kwa kamanda Mnyika
 
Salaam za Nape kwa Mnyika!

Mhe. John Mnyika Hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema! Welcome to the club ya waenezi wa Vyama!

Ninamatuamaini tutaendesha siasa za hoja katika ushindani, huku tukiweka masilahi ya nchi yetu mbele! Naamini uteuzi wako ni inshara ya Chama chako kutambua uwezo wa vijana katika kuleta mageuzi ya kweli ndani ya vyama vya siasa na taasisi mbalimbali nchini!

Nakutakia kila lakheri katika utumishi wako!

My take : Huu ndio uungwana na tofauti za kisiasa zisiwe ni uhasama

Kumlinganisha Mnyika na Nape ni sawa na kulinganisha mlima Kilimanjaro na Kichuguu.Mnyika yuko juu mno kwa Nape.Huo ni ukweli ingawa mimi binafsi si shabiki wa chama chochote
 
Back
Top Bottom