Nape Amfunika Vibaya Mwakyembe Leo Uwanja wa Taifa

Tatizo lenu hamjazoea kuona au kusikia objectivity.

Kila kitu nyie mnakiona katika rangi nyeupe au nyeusi tu.

Sasa hapo hata huo sijui ukabila, uchama, au udini unaingiaje kwenye mlinganyo!

Unaweza kunieleza?
Watu wanapenda kusikia wanavyotaka kusikia.
 
Message sent to Mutukufu
From TLS,MOAT,EDITORS,SOME WASANII,CMG,E MEDIA,and now FOOTBALL FANS,PRESS CLUBS,the list is growing
 
Hapo kamfunika vipi sasa?Kwani mgeni Darisalamu?Dar we chimba tu shimo anza kujadiliana na fundi wako huku mkiliangalia hilo shima,baada dak 10 watu watajaa tu na wao kushangilia
You must be part of destructive machine he Nape had engineered but you must get to your senses now that the odds are against his appointing authority as far as the people (watu wa nchi hii) are concerned
 
Kwa dab
Alitakiwa awe jimboni kwake akitumikia wananchi wake sio uwanja wa taifa akishangilia timu ya dar es salaam ambako yeye sio mbunge wao
Anapwaya ndio issue,hana wala hajui A,B,C ya kuwsletea maendeleo watu wa mtama,ni sanamu tu
 
You must be part of destructive machine he Nape had engineered but you must get to your senses now that the odds are against his appointing authority as far as the people (watu wa nchi hii) are concerned
Kwakuwa tu Nape kashangiliwa au kwa kigezo kipi.Mazwazwa huwa mna trend kwa mihemko tu,sasa sio tena vyeti
 
Sijawahi kuwa upinzani maisha yangu yote Tanzania hakuna upinzani kuna wapiga dili wanaotumia ujinga wa wasiojielewa kama daraja la kupandia kufikia watakapo. Tanzania mpinzani ambaye nilikuwa nadhani ni mpinzani alikuwa marehemu mtikila tu waliobaki wajaza tumbo tu
Sawa mpiga

Ova
 
Uwanja mzima ulilipuka kwa shangwe Leo uwanja wa taifa pale Nape Nauye alipoingia uwanjani jukwaa la VIP. Watu waliimba Jembe, jembe, jembe huku mwakyembe ambaye aliingia hata watu hawakuwa na habari naye akitabasamu na yeye pia akipiga makofi huku akimuangalia Nape. Watu waliimba kwa dakika kadhaa huku Nape akiwasalimu kwa kunyoosha mikono juu.
Leo ilikuwa mechi ya Taifa Stars na Botswana ambapo waTZ tulishinda goli mbili kwa sifuri huku goli zote mbili zikifungwa na Samatta
So kumbe kulikuwa na match nyingine ya kufunikana VIP? acheni upinzani wa matukio, tunataka mtupe dira na mbinu za kimaendeleo zitazotuaminisha kuwa tukiwachagua mtaleta maendeleo sio fulani kamfunika fulani.
 
Uwanja mzima ulilipuka kwa shangwe Leo uwanja wa taifa pale Nape Nauye alipoingia uwanjani jukwaa la VIP. Watu waliimba Jembe, jembe, jembe huku mwakyembe ambaye aliingia hata watu hawakuwa na habari naye akitabasamu na yeye pia akipiga makofi huku akimuangalia Nape. Watu waliimba kwa dakika kadhaa huku Nape akiwasalimu kwa kunyoosha mikono juu.
Leo ilikuwa mechi ya Taifa Stars na Botswana ambapo waTZ tulishinda goli mbili kwa sifuri huku goli zote mbili zikifungwa na Samatta
Hii habari mkulu itamchukiza
 
Kosa la Nape ni kusimamia ukweli na haki lakini aliyeenda kutoka kituo yuko mjini anapeta visasi anayekula pesa za GSM.Labda anamshikia muajiri wake hakuna mtu anajua lakini kuna watu kama nyinyi wanaona sawa hakika from Hero to Zero[/QUOTE]

Acha ujinga na UNAFIKI KAMA WA NAPE wewe,amevuna alichopanda na ni manafiki mkubwa mwache apeteleee mbali kesi ya jinai yeye anaunda tume kwa hiyo wote tukivamiwa tuwaite mawaziri waunde Tume??? Polisi wana kazi gani ??? HATA HIVYO UNAFIKI WA NAPE UMEWAPUMBAZA WENGI KAMA KWELI ALIKUWA ANATETEA WAANDISHI WA HABARI KAMA MNAVYODANGANYIKA ALIMFANYIA NINI YULE DC ALIYEMUWEKA NDANI MWANDISHI WA ITV??? Au ilikuwa ni halali kwa mwandishi kuwekwa ndani na DC wakati akitekeleza majukumu yake? Nape hapo alikuwa wapi msidandie gari msilojua mwelekeo wake Bifu la Makonda lilianzia kwa Wema kuwekwa ndani pamoja na wasanii wengine ambao ni marafiki wa karibu wa Nape jambo ambalo alilisema hadharani na katika hilo la kwenda studio ni matokeo ya uhuni wa mmilki wa ile Radio na TV kwa nini alimwahidi atatangaza video aliyompelekea wakati akijua ni kinyume cha taratibu za uandishi Makonda kama binadamu mwingine yeyote alikasirika na kuamua akachukue mkanda wake baada ya kudanganywa na watu waliojifanya ni rafiki zake kumbe wanamzunguka hapo PM aliamua kuwaonyesha nani ni mtoto wa mujini na nani ni wakuja ilipofika kwa Nape akadakia palepale ili amwangamize Makonda eti ameinajisi Serikali kumbe ni kisasi cha akina Wema and co, Ltd. Kaka mkubwa kwa kujua Nape anatumika aliamua alichoamua kwa hiyo Nape amevuna matunda ya ftina SIJAWAHI KUONA TUME INAUNDWA NA KUFANYA KAZI KWA MASAA 24 HIYO SPEED YOTE ILIKUWA NI KUMFURAHISHA NAN???? Apumzike kwa Amani na unafiki wake.
 
Ingecheza jimbo Lake la mtama uwepo wake ungekuwa na maana sababu halimashauri ya jimbo lake ingepata mgawo
Kwahiyo imekuuma kada mwenzenu wa CCM kwenda kuangalia mpira?Kwani Mwakyembe dar ni jimbo lake????
 
Back
Top Bottom