Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Nafurahi ninapoona vita ya makada wa ccm!Nape kwenye ugwiji chamani alikuwa top 10,sasa leo mnamrushia vijembe,hadi raha!Sijui nani next kugeukwa!!!!!Miezi miwili mingi,tutasikia kada mwingine kaingia 18 za Magu kwa ajili ya Makonda wakeSijawahi kuwa upinzani maisha yangu yote Tanzania hakuna upinzani kuna wapiga dili wanaotumia ujinga wa wasiojielewa kama daraja la kupandia kufikia watakapo. Tanzania mpinzani ambaye nilikuwa nadhani ni mpinzani alikuwa marehemu mtikila tu waliobaki wajaza tumbo tu