Nape Amfunika Vibaya Mwakyembe Leo Uwanja wa Taifa

Nape Amfunika Vibaya Mwakyembe Leo Uwanja wa Taifa

Uwanja mzima ulilipuka kwa shangwe Leo uwanja wa taifa pale Nape Nauye alipoingia uwanjani jukwaa la VIP. Watu waliimba Jembe, jembe, jembe huku mwakyembe ambaye aliingia hata watu hawakuwa na habari naye akitabasamu na yeye pia akipiga makofi huku akimuangalia Nape. Watu waliimba kwa dakika kadhaa huku Nape akiwasalimu kwa kunyoosha mikono juu.
Leo ilikuwa mechi ya Taifa Stars na Botswana ambapo waTZ tulishinda goli mbili kwa sifuri huku goli zote mbili zikifungwa na Samatta

Kwahiyo!?

Umepata pesa or chakula kimejileta mezani wako?

Muache udaku na uchochezi kwa kuluza mambo.

Hapa kazi tu
 
Osama boy yuko safi na kaonyesha kiwango na ujuzi.Msuva alikuwa hajatulia sana leo kwan hao jamaa tungewapiga mkono
 
Ila nyani siku hizi!! Ni ukabila, uchama, udini au ni nini? Siwezi sema ni Njaa maana unabeba box.

Tatizo lenu hamjazoea kuona au kusikia objectivity.

Kila kitu nyie mnakiona katika rangi nyeupe au nyeusi tu.

Sasa hapo hata huo sijui ukabila, uchama, au udini unaingiaje kwenye mlinganyo!

Unaweza kunieleza?
 
Uwanja mzima ulilipuka kwa shangwe Leo uwanja wa taifa pale Nape Nauye alipoingia uwanjani jukwaa la VIP. Watu waliimba Jembe, jembe, jembe huku mwakyembe ambaye aliingia hata watu hawakuwa na habari naye akitabasamu na yeye pia akipiga makofi huku akimuangalia Nape. Watu waliimba kwa dakika kadhaa huku Nape akiwasalimu kwa kunyoosha mikono juu.
Leo ilikuwa mechi ya Taifa Stars na Botswana ambapo waTZ tulishinda goli mbili kwa sifuri huku goli zote mbili zikifungwa na Samatta
Wewe mwanafunzi mjinga usiyefundishika,eboooo....
Nimekufundisha useme taifa stars wameshinda goli mbili kwa bashite......
 
Alitakiwa awe jimboni kwake akitumikia wananchi wake sio uwanja wa taifa akishangilia timu ya dar es salaam ambako yeye sio mbunge wao
Duh Leo una mgeuka bosi wako aliye Ku recruit toka upinzani ukajiunga na ccm!!! Makubwaa haya
 
Heri mwisho mwema.
Siku zote matendo ya mwisho ya mwanadamu husimams kukutetea, Nape nilimchukia kwa ukada wake lakini amemaliza mwendo vizuri
 
Alitakiwa awe jimboni kwake akitumikia wananchi wake sio uwanja wa taifa akishangilia timu ya dar es salaam ambako yeye sio mbunge wao
Duuuuuh,Taifa stars imekuwa timu ya daresalaam!?????????Aisee akili zenu mnazijua wenyewe
 
Duuuuuh,Taifa stars imekuwa timu ya daresalaam!?????????Aisee akili zenu mnazijua wenyewe
Ingecheza jimbo Lake la mtama uwepo wake ungekuwa na maana sababu halimashauri ya jimbo lake ingepata mgawo
 
Duh Dada Leo una mgeuka bosi wako aliye Ku recruit toka upinzani ukajiunga na ccm!!! Makubwaa haya
Sijawahi kuwa upinzani maisha yangu yote Tanzania hakuna upinzani kuna wapiga dili wanaotumia ujinga wa wasiojielewa kama daraja la kupandia kufikia watakapo. Tanzania mpinzani ambaye nilikuwa nadhani ni mpinzani alikuwa marehemu mtikila tu waliobaki wajaza tumbo tu
 
Hapo kamfunika vipi sasa?Kwani mgeni Darisalamu?Dar we chimba tu shimo anza kujadiliana na fundi wako huku mkiliangalia hilo shima,baada dak 10 watu watajaa tu na wao kushangilia
Ndio ujinga wa watu wa dar huo japo naishi dar.ukitaka kujua hiko,we mtafute lafiki yako mwambie akukimbize,piteni hapo mtaani mkikimbizana,we utaona watu wengine wanakimbia pia,si unakumbuka ishu ya panya road? Mtu hajawaona bali kaona wenzie wanafunga milangi na kukimbizana basi na yeye anafuata mkumbo
 
Back
Top Bottom