TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,202
watu kama unategemea wafanye nini?
![]()
Hii picha itamtafuna Wassira hadi anaingia Kaburini!
watu kama unategemea wafanye nini?
![]()
ndo zao
Nina uhakika 100% kwamba maelezo haya ni UONGO, kama mambo haya huwa yanafanyika Dar sijui, lkn hapa Mtwara CDM ilipiga ki ukweli kabisa mkuu, hakukuwa na sanaa..!Amefanya kile hata Chadema wanafanya, maana nao huwa wananunua kadi za CCm ili kuonyesha uma kuwa wanaCCm wamerudisha kadi.
The unseen is illustrated by the seen.
Kwa vile Nepi yupo humu, aje akanushe kwa kutoa number na majina za watu wenye hizo kadi!.
Ukwl huwa unauma, nyie ndio mjipange kwn hatutakubal ifikapo 2015 muwe wapinzan mfu, 2nataka nanyi 2wajenge ili pind CHADEMA itakapoingia ikulu nany muweze kutoa changamoto.
Utakuwa hufanyi biashara!ningekuwa na gari alafu ndo nikute eti limekodiwa na ccm dereva atanitambua nadhani sijui yani ntafanya je japo ni biashara
Kafanya mchezo kama ule tunaona kwenye mikutano ya injili VIPOFU KUONA,VILEMA KUTEMBEA ndicho nape alichofanya jana!kwa usawa huu wa mchele kilo sh 3000 nani ataipenda ccm?
Lakini kwa Hilo umepotea step. Kwa CHADEMA, wanaojitoa CCM wanatangazwa na kujisemea wenyewe ushuhuda wao, lakini hawa tunaoambiwa eti wamejitoa CHADEMA na kujiunga CCM kwa kurudisha kadi basi wataje angalau namba za kadi zilizorudishwa hata Kama hawatataja majina. Huu siyo usanii bali ni hadaa tupu. CCM mnazidi kuumbuka.Amefanya kile hata Chadema wanafanya, maana nao huwa wananunua kadi za CCm ili kuonyesha uma kuwa wanaCCm wamerudisha kadi.
The unseen is illustrated by the seen.
Mkuu siku nyingine picha zenye kutia kichefuchefu kama hizo uwe unabandika usiku wa manane...wengine bado hatujala...
Hii picha itamtafuna Wassira hadi anaingia Kaburini!