Nape alinunua kadi za CHADEMA

Nimeshindwa kuelewa kama chama kikongwe kama CCM wanaweza fanya upuuzi wa kiwango hiki cha kuwabambika watu wenye kadi mpya na nyingi hazijaandikwa chochote kabisa eti ionekane wanachama wa vyama vya upinzani wamerudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM.

Picha hii ambayo ipo pia kwenye blog ya bwana michuzi inadhihirisha uhuni waliofanya kuwahadaa Watanzania.

fake.jpg
 
Acheni kuweweseka, atleast jipangeni mje na uongo mmoja kuliko kila siku mara kadi feki, zimeibiwa. Nape mwib
 
True hata mimi nina kadi ya CDM haziko hivo zina sticker maalum kuonesha validity
 
Mkuu kwani ulikua unaamini ni kadi kweli zile?? Mie hata nisingeiona hiyo picha najua kwamba ile ni sanaa 100%.
 
mkubwa!hii mbinu ni ya mtu ambaye hajaelimika,mbinu ya kipuuzi puuzi tu!huyu atakua Nnauye Jr ndio katoa wazo hili,utumbo mtupu
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa, hata marehemu huwa hafi tu sekunde moja, anajipigapiga ili kujaribu kuokoteza uhai, lakini ikifika imefika.
 
sasa ndugu yangu ulitaka wafanyeje ili wagawane posho za bodi ya wafadhili??

ndo ccm hao wamechakachua mpaka vimeisha sasa wameanza kujichakachua wao wenyewe
 
Siku nyingi nimekuwa najiuliza, hivi chama hivi sasa hakina mtu wa mikakati na propaganda??, nasema hivi kwa sababu, hatua ambayo CCM wanafanya ya kutaka kujibu MAPIGO kila CDM wanapofanya shughuli zao, inaonyesha kwa kiasi kikubwa anakosa kina. ni cheap kwa kushangaza. Napenda kuwauliza walioandaa mkutano huu wa juzi, kwa nini walikurupuka? kwa nini wametumia agenda ya kupambana na Chadema? lakini kubwa zaidi ni hili la kukusanya kadi feki. Hii inanikumbusha kisa cha mbuni na kuficha kichwa wakati mwili wote uko nje. CCM nawashauri kubadilisha mikakati na hasa kutumia wataalaumu wanaoweza kusoma mazingira/hali na kuitafsiri katika mkakati]

Nimeshindwa kuelewa kama chama kikongwe kama CCM wanaweza fanya upuuzi wa kiwango hiki cha kuwabambika watu wenye kadi mpya na nyingi hazijaandikwa chochote kabisa eti ionekane wanachama wa vyama vya upinzani wamerudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM.

Picha hii ambayo ipo pia kwenye blog ya bwana michuzi inadhihirisha uhuni waliofanya kuwahadaa Watanzania.

View attachment 56011[/QUOTE]
 
tuwahurumie wazee wetu, hata magari menyewe yanaonekana yamechoka kweli kama chama kilivyochoka.
 
Hawa jamaa wamefulia ile mbaya kama ndio chama tawala wanahali mbaya sana. tusubiri 2015 watashindwa mapema kabisa hata kampeni nahisi hawataweza watakuwa wanazomewa tu.
 
Wakubwa, hata marehemu huwa hafi tu sekunde moja, anajipigapiga ili kujaribu kuokoteza uhai, lakini ikifika imefika.

Magamba naomba andikeni wosia mapema maana baada ya mazishi yenu 2015 hatutaki kuwa mashahidi makada wawtakapokuwa wanagombea mali. Tafadhari tuepushe na balaa hilo.
 
Kwenye post kama hizi ni vigumu kuwaona akina ritz,rejao,mafilili,niko hapa,watu8,na wale wenye tatizo kama lao
 
please please...kama kuna watu wa magazeti makini humu (e.g TZ daima au Mwananchi) wapeni hizi picha waweke kwenye front page ya magazeti yao kesho ili kila mtanzania aliyekuwa anaangalia TV jana na kuhadaika aone ushenzi huu wa kipumbavu unaofanywa na hawa ccm....hii ndo njia pekee ya kupambana na upuuzi kama huu...yaani kuuanika hadharani kwa umma wote kuona....maana watazitumia tena hizi kadi kwenye mikutano yao kuhadaa umma(wameshasema jana haikuwa mwisho).....hivyo tafadhali watumieni wahariri wa magazeti hizi picha waweke kwa front page za magazeti yao...kama walivyofanya walipomweka wassira akipiga usingizi bungeni na ikawa funzo kwake......hii ndo dawa pekee ya kupambana na hila.....

attachment.php
 
CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
BINTI MREMBO LUMUMBA CCM
:confused2:

Aisee!! ahsante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom