Nape alinunua kadi za CHADEMA

Kodemu

Member
Mar 30, 2012
38
13
Ndugu wana jf,

Napenda niwape taarifa ambazo nimezipata kwa rafik mkubwa sn na Nape. Siku ya mkutano wa CHADEMA pale Jangwani, Nape alikuwa ameandaa vijana na kuwalipa ili waendee kwny mkutano wa chadema wakachukuwe kad. Nape aliwaagiza vijana hao wahakikishe wanapata kad za chadema ili siku nao wakiandaa mkutano wao waweze kujigamba na kuwahadaa wananch kuwa kuna kad za chadema zimerudishwa.

Kama huamin jaribu kuangalia kadi zilizorudishwa kwny registration yake ni tarehe ya siku chadema iliyofanya mkutano wake.

Nawasilisha!
 
Ni kweli mkuu pia walitengenezesha nyingine ndio maana Nape alitaka zichomwe lakini kinana akakataa lakini hawezi kuzirudisha CDM wataumbuka
 
Kwa vile Nepi yupo humu, aje akanushe kwa kutoa number na majina za watu wenye hizo kadi!.
 
Kafanya mchezo kama ule tunaona kwenye mikutano ya injili VIPOFU KUONA,VILEMA KUTEMBEA ndicho nape alichofanya jana!kwa usawa huu wa mchele kilo sh 3000 nani ataipenda ccm?
 
Nakumbuka kuna member nadhani Precise pangoline alituhabarisha kuwa kuna kadi feki za chadema zinatengenezwa kariakoo na ccm!
 
Last edited by a moderator:
Hivi huwazi jiuliza kadi elifu 4 hamna hata kiongozi mmoja aliyetoka chadema na kujiunga ccm,pili ccm wamefanya nini cha maana hadi watu wakimbie cdm,tatu ule mkutano ulikuwa haufiki watu elfu 4.wanazidi kijiaribia
 
Amefanya kile hata Chadema wanafanya, maana nao huwa wananunua kadi za CCm ili kuonyesha uma kuwa wanaCCm wamerudisha kadi.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Ccm bwana, kama mazuzu vile


mali-wananchi.jpg
 
Amefanya kile hata Chadema wanafanya, maana nao huwa wananunua kadi za CCm ili kuonyesha uma kuwa wanaCCm wamerudisha kadi.
The unseen is illustrated by the seen.

wewe ndio zuzu namba moja mbona hamkuwahi kulalamika? au ndio yale ya kuiga kila kitu cha cdm? mmebakia kuiga kuwa chama cha upinzani!!
 
Amefanya kile hata Chadema wanafanya, maana nao huwa wananunua kadi za CCm ili kuonyesha uma kuwa wanaCCm wamerudisha kadi.
The unseen is illustrated by the seen.
chadema kadi za ccm huwa zinakuja na viongozi ambao wamechoswa na ruswa nyie ilikuwa kavukavu,yaani ni sawa na kula ugali bila mboga au plau bila kachumbari.humdanganyi mtu hapa gamba wewe!
 
Mpaka siku vyama vikiweza kuhakiki uhalisia wa kadi zinazorejeshwa ndo hii mada itakuwa na nguvu otherwise ukweli unabaki na hao wanorudishiwa pale majukwaani........

Kulia na kucheka zote kelele banaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ccm wameishiwa sera, tangu jana nilitangaza rasm kumdharau maguful, hana jipya. yy na nape hawana tofaut.
 
Is posible mambo mengi ya ovyo hufanywa na baadhi ya viongozi na wanachama na wapenzi wa ccm. But kwa faida gani? na nani anadanganywa? Nape na CCM wamejimaliza wenyewe kwa kutumia mbinu za kijinga na zinazo kosa tija. Nani asie jua kuwa ccm inalazimisha watu waamini kuwa ipo wakati ilishakufa bado kuzikwa 2
 
Ccm hawaachi kuota mchana kweupe,katika kampeni zao za kuwapuuza watanzania wameandaa ulaghai mwingine ili wapate kura za wapumbavu.
1.kuanzishwa benki ya wakulima
2.kuanzisha benki ya vijana
katika uanzishwaji benki hizo serikali ina mpango wa kuwahadaa watz kwa kuwaambia watawakopesha mikopo yenye riba nafuu, kuanzia million 1mpaka 15.lakini katika uombaji huo unahusisha wajumbe wa nyumba kumi kama mawakala wao ili upate mkopo,cha kuchekesha zaidi inaaminika ccm imejipanga kutumia kitambulisho cha uraia na hasa cha kupigia kura kama mtaji wa kuwapata hao walengwa.na kuhakikisha wanaochukua mikopo wote wataipigia ccm uchaguzi kuanzia udiwani wa 2014 na uchaguzi mkuu 2015.lakini wajumbe wengi wana wasiwasi kuwa vijana walio wengi wameelevuka sana na watakula pesa zao na kuwapigia wapinzani.ccm ilitumia mkutano wa jangwani kama kipima joto sasa wameanza kuingiwa na wasiwasi maana mkusanyiko ule haukukamilika bila ya pesa sasa wanajiuliza bila vikindi vya sanaa kweli watakubalika,mjumbe aliye karibu na nape kasema chadema inawanyima usingizi kuliko hata magonjwa ya wazazi wao au wanandoa wao.

Binti mrembo lumumba ccm
 
Back
Top Bottom