kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,964
Mabwepande!!!!!!tehe!tehe!tehe! Kaaaaaazi kwelikweli,sikio la kufa halisikii dawa ng'o
Is posible mambo mengi ya ovyo hufanywa na baadhi ya viongozi na wanachama na wapenzi wa ccm. But kwa faida gani? na nani anadanganywa? Nape na CCM wamejimaliza wenyewe kwa kutumia mbinu za kijinga na zinazo kosa tija. Nani asie jua kuwa ccm inalazimisha watu waamini kuwa ipo wakati ilishakufa bado kuzikwa 2