KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Kwa mtu ambaye ni public figure hawezi kuongea maneno ambayo niyauchochezi ambayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani!Hafai kuwa kiongozi kutokana na maneno yake ya uchochezi!yeye chama chake kinatakiwa na uvumilivu kwakuwa ndicho chama kimeshika dola!maneno aliyosema yanaweza kubadili mtazamo wa taifa kwa dakika 1 tu!hata Rwanda ilikuwa kama hivi!nasikitika hata vyombo vya habari vimepamba habari yake ilitakiwa kuipuuza!na shangaa Jeshi la Polisi lipo kimya hapo tunakuwa na shaka na Polisi kwa kauri hii ya Nape ingekuwa kwa upinzani tayari yupo ndani!Kwanza anaushahidi kama vijana wa upinzani ndiyo walifanya haya yote yanayotokea Igunga?je Polisi wamejihakishia kwamba kweli maneno ya nape yanaweza kutumika kama ushahidi?Nape unazeeka kisiasa.