Nape akamatwe ahojiwe kwa kuhamasisha uvunjaji wa amani.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kwa mtu ambaye ni public figure hawezi kuongea maneno ambayo niyauchochezi ambayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani!Hafai kuwa kiongozi kutokana na maneno yake ya uchochezi!yeye chama chake kinatakiwa na uvumilivu kwakuwa ndicho chama kimeshika dola!maneno aliyosema yanaweza kubadili mtazamo wa taifa kwa dakika 1 tu!hata Rwanda ilikuwa kama hivi!nasikitika hata vyombo vya habari vimepamba habari yake ilitakiwa kuipuuza!na shangaa Jeshi la Polisi lipo kimya hapo tunakuwa na shaka na Polisi kwa kauri hii ya Nape ingekuwa kwa upinzani tayari yupo ndani!Kwanza anaushahidi kama vijana wa upinzani ndiyo walifanya haya yote yanayotokea Igunga?je Polisi wamejihakishia kwamba kweli maneno ya nape yanaweza kutumika kama ushahidi?Nape unazeeka kisiasa.
 
ingekua ni upinzani ndo wametoa kauli hiyo ungesikia wanataka kuhatarisha amani ya nchi yetu
 
Kweli siasa za Tanzania zimefilisika ... Kiongozi kama ya Ngazi Ya Nape ... anadiriki kuongea jambo ambalo halina Mantiki wala busara ya anina yeyote ... Simply Kupata Kura ....Hii haikubaliki kabisa... Inaashiria kubomoka kwa miiko ya Ungozi na Misingi dhabiti ianayoifanya tanznaia kuwa Tanznaia...!!
 
Kwa mtu ambaye ni public figure hawezi kuongea maneno ambayo niyauchochezi ambayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani!Hafai kuwa kiongozi kutokana na maneno yake ya uchochezi!yeye chama chake kinatakiwa na uvumilivu kwakuwa ndicho chama kimeshika dola!maneno aliyosema yanaweza kubadili mtazamo wa taifa kwa dakika 1 tu!hata Rwanda ilikuwa kama hivi!nasikitika hata vyombo vya habari vimepamba habari yake ilitakiwa kuipuuza!na shangaa Jeshi la Polisi lipo kimya hapo tunakuwa na shaka na Polisi kwa kauri hii ya Nape ingekuwa kwa upinzani tayari yupo ndani!Kwanza anaushahidi kama vijana wa upinzani ndiyo walifanya haya yote yanayotokea Igunga?je Polisi wamejihakishia kwamba kweli maneno ya nape yanaweza kutumika kama ushahidi?Nape unazeeka kisiasa.
Ungeeka hayo maneno yake hapo kwa faida ya wale ambao hawakusikia au wako mahali amabapo hawana access na vyombo vyetu vya habari.
Ila huyu dogo anaingilia ligi ambayo haiwezi.
 
Kwa mtu ambaye ni public figure hawezi kuongea maneno ambayo niyauchochezi ambayo yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani!Hafai kuwa kiongozi kutokana na maneno yake ya uchochezi!yeye chama chake kinatakiwa na uvumilivu kwakuwa ndicho chama kimeshika dola!maneno aliyosema yanaweza kubadili mtazamo wa taifa kwa dakika 1 tu!hata Rwanda ilikuwa kama hivi!nasikitika hata vyombo vya habari vimepamba habari yake ilitakiwa kuipuuza!na shangaa Jeshi la Polisi lipo kimya hapo tunakuwa na shaka na Polisi kwa kauri hii ya Nape ingekuwa kwa upinzani tayari yupo ndani!Kwanza anaushahidi kama vijana wa upinzani ndiyo walifanya haya yote yanayotokea Igunga?je Polisi wamejihakishia kwamba kweli maneno ya nape yanaweza kutumika kama ushahidi?Nape unazeeka kisiasa.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom