nape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.
Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu, marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!
Nakupongeza sana Nape nnauye! Umeweza kuwachokonoa chadema panapotakiwa ukilinganisha umri wako na unaowanyima usingizi,MABABU!!!umeweza kufanya kazi waliyoishindwa makamba na chiligati! Singo ya chadema sasa imebadilika,wamehama kwenye singo ya UFISADI!UFISADI!! hadi singo mpya ya NAPE!NAPE!NAPE!! Nape umekuwa ni mzimu unaowazingira wanachadema tz nzima! Kweli chadema ni chama kichanga kisiasa, yaani huyu bwana mdogo tu single-handedly anawachachafya namna hiii!!!! Cdm kwishney, subirini kupunguziwa ruzuku 2015,sijui padiri muasi mtamlipa nini!!!
Mzee nadhani hujanielewa, nilikuwa namjibu MAFILILI aliyedai twende kuchunguza makao makuu ya chadema kuwa wamejaa wachaga, mimi sikubaliani nae, read my comment well utagundua nilimlenga nani, but nilikosea kumjibu Sikonge na nimemwomba radhi
Nakupongeza sana Nape nnauye! Umeweza kuwachokonoa chadema panapotakiwa ukilinganisha umri wako na unaowanyima usingizi,MABABU!!!umeweza kufanya kazi waliyoishindwa makamba na chiligati! Singo ya chadema sasa imebadilika,wamehama kwenye singo ya UFISADI!UFISADI!! hadi singo mpya ya NAPE!NAPE!NAPE!! Nape umekuwa ni mzimu unaowazingira wanachadema tz nzima! Kweli chadema ni chama kichanga kisiasa, yaani huyu bwana mdogo tu single-handedly anawachachafya namna hiii!!!! Cdm kwishney, subirini kupunguziwa ruzuku 2015,sijui padiri muasi mtamlipa nini!!!
Nape, ondoa kwanza Boriti kwenye jicho lako, baada ya hapo geukia jicho la mwenzako.
The following user groaned Tolowski for this useless thread
genekai (13th/05/2011)
Umejiunga April baada ya tamko la kujivua magamba feki ili upotoshe umma? Au umekuja kuongeza idadi ya watetea mafisadi? Nape anaweza kutueleza wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri, makatibu wakuu, nk ambao hawana hadhi ya DR. SLAA, walipwaje? Wanafanya kazi gani? acheni upuuzi bwana. Nchi hii ni mali yetu. Dr. Slaa ni chaguo la waTZ wengi kama si wote.
Huyu Tambwe 2.0 (Nape) haoni kama hayo ni matusi kwa wana CCM wenzake kudai hakukuwa na watu makini wa kujibu hoja za CHADEMA!! Kwa hiyo hata huyo Boss wake (Chiligati) ambaye alikuwa kwenye cheo alichonacho sasa Nape naye hakuwa makini? Sasa iweje Mwenyekiti wa CCM (T) Mh. Rais JK ampe Chiligati promotion kuwa Naibu Katibu Mkuu wakati akijua kuwa si makini. Hii inamaanisha hata JK si mtu makini (kwa mujibu wa Nape) kwa kumpandisha cheo mtu hasiye makini.
Hata hivyo Public ilishajua kuwa JK si makini ila hapa naona kama Nape anajaribu kuthibitisha kupitia dirishani. Tambwe 2.0 kweli ana kazi, Kwa upande mwingine naye amegeuka kuwa kama Ridhwani. CHADEMA wamekutuhumu kuwa ulifaidika na fedha za EPA kupitia kwa Jeetul Patel. Yeye naye anakuja na santuri ya kudai waweke ushahidi kwenye public domain. Kwa nini anaogopa kwenda mahakamani? Nenda mahakamani kisha ushahidi utatolewa huko. Tambwe 2.0 hasipokwenda mahakamani kwa kuchafuliwa jina, basi atakuwa anathibitisha kuwa walichosema CHADEMA ni ukweli i.e Nape naye ni GAMBA.
Nakupongeza sana Nape nnauye! Umeweza kuwachokonoa chadema panapotakiwa ukilinganisha umri wako na unaowanyima usingizi,MABABU!!!umeweza kufanya kazi waliyoishindwa makamba na chiligati! Singo ya chadema sasa imebadilika,wamehama kwenye singo ya UFISADI!UFISADI!! hadi singo mpya ya NAPE!NAPE!NAPE!! Nape umekuwa ni mzimu unaowazingira wanachadema tz nzima! Kweli chadema ni chama kichanga kisiasa, yaani huyu bwana mdogo tu single-handedly anawachachafya namna hiii!!!! Cdm kwishney, subirini kupunguziwa ruzuku 2015,sijui padiri muasi mtamlipa nini!!!
N Sidhani kama ana kipaji anaropoka sana usisahau kwamba baadhi ya matamshi yake hata bosi wake amesema si msimamo wa chama na tunategemea na hii sumu aliyomwaga jana CCM kama chama makini wa disown haya matamshi hatari kabisaNape ana kipaji lakini CCM wameshindwa kukitumia kipaji chake.
CDM wamekamatwa kisiwani, hawana pa kutokea!! Bravo Nape
Kisiwani kuna watu wangapi? Jumlisha Arusha, Mbeya na Kilimanjaro kwanza halafu utajua kama kweli hawana pa kutokea, halafu muungano wenyewe umebaki kwa viongozi wa CCM na kina nani sijui lakini katika mioyo ya wananchi haupo. Nimejaribu kuishi kwa wema na wazanzibar lakini nimeshindwa. Huku bara tunawaheshimu na kuwachukulia kama wenzetu lakini kule kwao ni wanyanyasaji balaa. Mimi ni muislamu mwenzao lakini....... Sio wastaarabu.
Tolowsk Kama ni tumbo la kuhara hilo lako ni kiboko sijui walikulisha nini!!,inasikitisha pia kuona mtu kama wewe unaandika utumbo humu JF kweli kazi ipo kuwaelimisha watu Kama hawa
Hongera sana Tolowski kwa kuweka Pumba na Crap!
Umeingia bonge la chaka,hujaelewa mada hata kidogo mzee! Au nawe ni mropokaji kama padiri! Ok kisiwani jamaa hakumaanisha zanzibar, alimaanisha nape kawazingira pande zote kama maji