Nape adai Januari Makamba ana akili sana

Nape adai Januari Makamba ana akili sana

Hizo ni mbinu zao za kimkakati hizo.hao ni majambazi
Huyu Januari yuko overrated sana, hana uwezo wowote wa kuwa Rais wa Tanzania. Watu wanasahau kuwa bila kupigiwa debe na baba yake kwa JK huyu kipara angekuwa mpagazi tu kama wasambaa wengine pale Kariakoo (WAGROVESU). Hana CV ya kujivunia mwenyewe
 
Hii nchi ina mambo ya kindezi sana.yaani kikundi flani cha watu kinajiamulia kumtukuza mtu fulani kwa maslahi yao binafsi
 
Huyu Januari yuko overrated sana, hana uwezo wowote wa kuwa Rais wa Tanzania. Watu wanasahau kuwa bila kupigiwa debe na baba yake kwa JK huyu kipara angekuwa mpagazi tu kama wasambaa wengine pale Kariakoo (WAGROVESU). Hana CV ya kujivunia mwenyewe
CCM wanachojua ni kuokota okota watu.

Wala haishangazi yeye kuwa na ndoto hizo.
 
Makamba,membe ni watu waliopingwa hadharani na katoliki,na Hilo linaendelezwa na waamini
Najua membe alikua potential wa urais,ni mkatoliki wa lindi,lakini ana ndugu wengi waislam,hakuwa na shida na Tanzania kujiunga OIC,basi hili liliwapanua sana midomo maaskofu
Kwa makamba sijui shida ni nini mpaka kadinali mwanya kumpinga hadharani
Makamba ni dini gani bibie? Pliz nieleze.
 
Bado tunakumbuka kisa cha muitaliano, dada yake January aitwaye Mwamvita.
Pia tunakumbuka tukio la Gallanos High School na yeye kufutiwa ....na NECTA.
Nawasaidia watu wa VETTING mafaili muhimu...
Ana bachelor tayari,mambo ya dada yake yanamhusu nini?..nakumbuka kadinali mwanya alisema hatuwezi kuongozwa na wanyoa vipara
 
Ana bachelor tayari,mambo ya dada yake yanamhusu nini?..nakumbuka kadinali mwanya alisema hatuwezi kuongozwa na wanyoa vipara
Rafiki yake huyo kadinali mbona alinyoa kipara na aliongoza nchi?
Hiyo kauli siyo kweli, hakusema.
Kuhusu dada yake kipara na Muitaliano nadhani haujui nini kilitokea.
Fuatilia humuhumu JF ipo hiyo habari.
Kuhusu kuwa na bachelor hakufuti kosa lililofanyika elimu ya sekondari.
 
Kiukweli mwamba anaakili sana tena sana ila kwa vile yupo CCM .. mm binafs ukiwa CCM hata kama una akili automatically unakuwa hauna akili

Yaani ukiwa CCM kama mwanamke hata kama una akili plus nyashi.. ukinitaka nakukataa
Wewe akili yake umeiona kwenye jambo gani?!
 
Huyo January si ndio Kuna Uzi wake ulishawahi kuwekwa humu aliiba Mitihani Galanos ?! Napata mashaka.
 
akili gani hapo mwenye form 4 F zote anamsifia mwenzake mwizi wa mitihani. kilaza anamsifia kilaza mwenzake
 
Back
Top Bottom