Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,629
- 15,539
Huyu Nape kaamua kumrusha mwenzake kaona kasaulika sana.
Kichwa kinatoa takwimu mara nyingi nyingiKuwa na akili sana ndo kukoje huko?
Kama january hana CV raisi wako samia aliyefeli kidato cha nne ana CV gani?Huyu Januari yuko overrated sana, hana uwezo wowote wa kuwa Rais wa Tanzania. Watu wanasahau kuwa bila kupigiwa debe na baba yake kwa JK huyu kipara angekuwa mpagazi tu kama wasambaa wengine pale Kariakoo (WAGROVESU). Hana CV ya kujivunia mwenyewe
Alikuwa anajiweka karibu na KingmakerSema January huwa ana mvuto wa kisiasa na sema ana kashfa kibao aliniuzi alipojieguza marketing manager ya Taifa gas na kuuza mitungi waziri mzima kuna mambo mengi ya kufanya sio kuuza majiko ya Gas stupid
View attachment 3589373
Akihojiwa kwenye podcast ya Omari Kashera/Salma Dakota amedai hivyo.
"Ukimpima nyani kwa kigezo cha kupanda miti, utadhani kobe ni mzembe na nyani ni genius."
Alisema,unabisha nini!?Rafiki yake huyo kadinali mbona alinyoa kipara na aliongoza nchi?
Hiyo kauli siyo kweli, hakusema.
Najua,ni uzushi tu na mengine ni personalKuhusu dada yake kipara na Muitaliano nadhani haujui nini kilitokea.
Kufutiwa mtihani kisa majibu kufanana na wengine siyo wiziFuatilia humuhumu JF ipo hiyo habari.
Kuhusu kuwa na bachelor hakufuti kosa lililofanyika elimu ya sekondari.
SawaAlisema,unabisha nini!?
Najua,ni uzushi tu na mengine ni personal
Kufutiwa mtihani kisa majibu kufanana na wengine siyo wizi
Sakata la Makamba na Muitaliano lachukua sura mpya - Global Publishers Sakata la Makamba na Muitaliano lachukua sura mpya - Global PublishersSawa
Kwa hiyo yeye Nape hana akili, labda karithi uduwanzi kutoka ujombani maana baba yake halisi ni Profesa.View attachment 3589373
Akihojiwa kwenye podcast ya Omari Kashera/Salma Dakota amedai hivyo.
"Ukimpima nyani kwa kigezo cha kupanda miti, utadhani kobe ni mzembe na nyani ni genius."
Kufanana majibu ya mtihani ni wizi, usititee hili hata kama wewe ni ndugu wa MakambaAlisema,unabisha nini!?
Najua,ni uzushi tu na mengine ni personal
Kufutiwa mtihani kisa majibu kufanana na wengine siyo wizi
Hayo majibu kufanana labda ya math,na kama math basi ni kivipi yasifanane ikiwa wamepatia?Kufanana majibu ya mtihani ni wizi, usititee hili hata kama wewe ni ndugu wa Makamba
Mtu ambaye hawezi kumudu kununua hata baiskeli akikuona unamiliki mtumba wa Toyota IST lazima atakuvulia kofia. In fact, hawezi kujua kama wewe na Mo mnatofautiana sana kwa utajiri.View attachment 3589373
Akihojiwa kwenye podcast ya Omari Kashera/Salma Dakota amedai hivyo.
"Ukimpima nyani kwa kigezo cha kupanda miti, utadhani kobe ni mzembe na nyani ni genius."