Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

xav bero WENGI WALIENDA NA MALEZ MAZURI LAKINI WAKACHANGE
Sikatai wengi wamechange lakin he lni wote?? Kama sio wote it means kuna waliowwza hapa ndo anaweza kua ktk hlo kundi LA kuweza kwa mwanamke wake so sababu hatumjui MTU mwnyewe na hata tukimjua hatuwez kujua anachowaza,alikua na maana kubwa sana kusema subiri kwanza nmalize chuo ili asichanganye kulea na chuo,wengi wamezaa wakiwa chuon na ubaya ufanisi hata wa masomo unapungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo changamoto babii, huyo demu wako labda awe mtu wa kujitegemea kwa kila kitu na anayejitambua.

Kama demu wako ana asili ya ushamba au wale wa kushikwa maskio yani mtu wa kuongozana na mashosti andika maumivu. Pia kama alikuwa anabanwa sana nyumbani ni tatizo jingine hilo.

Chuo ni sehemu nzuri ya kujifunza maisha ila mademu malimbukeni hufanya vituko vya kila aina hebu ona.

1. Kama alikuwa hajui club ataenda tu na pombe atakunywa...

2. Wewe au kwao hamna gari akibebwa kwenye na vijana wenye hayo mamlaka hachomoki...

3. Bata za kila weekend guaranteed kwa viwanja na mahoteli makubwa ya town, lazma sponsor akiomba utamu anapewa tu huku demu akidanganywa ataolewa na huyo jamaa baada ya chuo so hatokuwaza tena...

4. Akiwa kilaza jua kuna kipanga fisi wa darasani atapata fursa akimbana ghetto/hostel na kumpiga pindi kisha kulipwa penzi juu ya deka.

5. Kama alikuwa hajui kuvaa kuna mashosti atakutana nao huko watamvisha viwigi,makucha mpaka skin jeans na vikondom ili aonekane wa kisasa...

6. Kuna vijana wakishua watanashati 24/7 wenye mvuto na mamlaka kama wanaomiliki mageto makali,pesa,magari. Sio ajabu demu wako akakuona kolo tu huendani nae baada ya kuwa anatongozwa sana na watu highclass zaidi na kupelekwa viwanja vya maana.

7. Akiangalia we uwezo wako ghetto t.v chogo, full majaba outing mnaenda beach kimba kula madafu na azam chokstik na diamond karanga. Lazma aone unamchelewesha maisha tu.

ANGALIZO:
Mwaka wa kwanza unaeza maliza nae freshi ila hayo mara nyingi hutokea ndani ya mwaka wa pili wa chuo, we sikilizia tu! Nikushauri tu andaa backup plan in case haya yatatokea maana odds ni 90% likely kwa wasichana wengi!
Ukiona meseji hazijibiwi kwa wakati, namba inatumika sana kuanzia saa 4-6 usiku na pia hakujulii hali siku nzima mpaka umuanze na ukiulizia shida ni nini anakuwa mkali na visingizio ambavyo havikuwepo mwanzoni jua tayari.
ebana mwanangu umemalza kila kitu....yani kama somo apo limeisha....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du!? Mlete kwangu nimweke tego kimazingira Bila kujua alitaka kusaliti anawashwa mwili mzima njoo in Bobo nikupe maunjanja ila uwe na hela ya kutosha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo changamoto babii, huyo demu wako labda awe mtu wa kujitegemea kwa kila kitu na anayejitambua.

Kama demu wako ana asili ya ushamba au wale wa kushikwa maskio yani mtu wa kuongozana na mashosti andika maumivu. Pia kama alikuwa anabanwa sana nyumbani ni tatizo jingine hilo.

Chuo ni sehemu nzuri ya kujifunza maisha ila mademu malimbukeni hufanya vituko vya kila aina hebu ona.

1. Kama alikuwa hajui club ataenda tu na pombe atakunywa...

2. Wewe au kwao hamna gari akibebwa kwenye na vijana wenye hayo mamlaka hachomoki...

3. Bata za kila weekend guaranteed kwa viwanja na mahoteli makubwa ya town, lazma sponsor akiomba utamu anapewa tu huku demu akidanganywa ataolewa na huyo jamaa baada ya chuo so hatokuwaza tena...

4. Akiwa kilaza jua kuna kipanga fisi wa darasani atapata fursa akimbana ghetto/hostel na kumpiga pindi kisha kulipwa penzi juu ya deka.

5. Kama alikuwa hajui kuvaa kuna mashosti atakutana nao huko watamvisha viwigi,makucha mpaka skin jeans na vikondom ili aonekane wa kisasa...

6. Kuna vijana wakishua watanashati 24/7 wenye mvuto na mamlaka kama wanaomiliki mageto makali,pesa,magari. Sio ajabu demu wako akakuona kolo tu huendani nae baada ya kuwa anatongozwa sana na watu highclass zaidi na kupelekwa viwanja vya maana.

7. Akiangalia we uwezo wako ghetto t.v chogo, full majaba outing mnaenda beach kimba kula madafu na azam chokstik na diamond karanga. Lazma aone unamchelewesha maisha tu.

ANGALIZO:
Mwaka wa kwanza unaeza maliza nae freshi ila hayo mara nyingi hutokea ndani ya mwaka wa pili wa chuo, we sikilizia tu! Nikushauri tu andaa backup plan in case haya yatatokea maana odds ni 90% likely kwa wasichana wengi!
Ukiona meseji hazijibiwi kwa wakati, namba inatumika sana kuanzia saa 4-6 usiku na pia hakujulii hali siku nzima mpaka umuanze na ukiulizia shida ni nini anakuwa mkali na visingizio ambavyo havikuwepo mwanzoni jua tayari.
[emoji122] [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cku hizi Hakuna boom... Kilichokuwa kinawapa kichwa wasichana ni hizo hela za boom.. Saivi hawana jipya... Ukiwa na hela tuu.. Utaendelea tuu kujilia mzigo wako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom