Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

mwache aende chou mkuu,omba asibadilike,vitu vingine inabidi usali and wait for outcome...usiweke wasiwasi sana...yaani..what if this..what if that....anaweza akajitunza akawa exceptional...
 
Mimi nina mchumba anatarajia kwenda Chuo Kikuu, sasa anasema nimsubiri. Je, itawezekana kumuoa au atabadilika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ushauri nimeona jamaa anakuambia umtie mimba, kiongozi kama hujajipanga kufanya hivyo usijaribu kwa sababu utakuja kuharibu future ya mtoto wa MTU halafu baadae mnaanza kutuambia mambo ya singo maza. Tafasali sana kijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom