Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

Kwann usimuulize hilo swali yeye mwenyewe?
 
Hapo huna mchumba tena kijana, wakisha enda chuo andika maumivu..

Hubadilika tabia pindi wafikapo chuo yaani ataenda kukutana na wenye hadhi kubwa na vishawishi vya hapa na pale........

Labla kama wewe unafanya kazi BOT, na Baba yako ni mmiliki wa Oilcom na Mama yako anafanya kazi Bank ya dunia hapo ndiyo hatakusaliti hata kidogo.....


Otherwise jiandae kwa msiba.....


Duuuh,

Haaaa haaaa haaaa haaaaaa teeeh teeeeh
Imebidi nicheke tu kisha nikupe like yako.
 
Jipange tuu bro,akikuambia ana presentation, assignment, discussion sijui quiz we elewa tuu usije juu...
 
Kaka siyo vizuri kumtisha mwenzio km nichaguo lake atamsubiri
Maisha ya chuo sio ya mchezomchezo, atakutana na wataalam na atamsahau jamaa SIMTISHI KABISA ILA NDIO HALI HALISI

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Back
Top Bottom