Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,331
- 72,627
Maisha ya chuo majanga muda mwingine, labda ajiheshimu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Maisha ya chuo majanga muda mwingine, labda ajiheshimu
Ndo maana nimemshauri asimwache kwanza aone atalinda penzi au atagawa ovyo huko chuoniMaisha ya chuo majanga muda mwingine, labda ajiheshimu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Siyo wrote wanashawishika, upendo wa kweli na uaminifu ni nguzo toshaMaisha ya chuo sio ya mchezomchezo, atakutana na wataalam na atamsahau jamaa SIMTISHI KABISA ILA NDIO HALI HALISI
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Hamna kitu km hicho wala simfarijiUsubiri nini?
Hapo nimekupata mubashara...!!!Ndo maana nimemshauri asimwache kwanza aone atalinda penzi au atagawa ovyo huko chuoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi kuna upendo wa kweli my sista??? wachache sanaSiyo wrote wanashawishika, upendo wa kweli na uaminifu ni nguzo tosha
Muelezee mkuuMpenzi kwenda chuo hakujawahi kuliacha penzi salama..
Hapo jiandae kwa maumivu, tafuta mwingine kama sub!!
Ohoo chapatiHAKUNA BINTI ALIYEKWENDA CHUO KIKUU AKARUDI NA TABIA YA ZAMANI
HAPO HAKUNA CHAKO MKUU, ATAENDA KUGEUZWA KAMA CHAPATI
Muelezee mkuu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Hao hao wachache, anaweza akawa mmoja wapo??Siku hizi kuna upendo wa kweli my sista??? wachache sana
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Hahahaha kweri aiseeeHapo huna mchumba tena kijana, wakisha enda chuo andika maumivu..
Hubadilika tabia pindi wafikapo chuo yaani ataenda kukutana na wenye hadhi kubwa na vishawishi vya hapa na pale........
Labla kama wewe unafanya kazi BOT, na Baba yako ni mmiliki wa Oilcom na Mama yako anafanya kazi Bank ya dunia hapo ndiyo hatakusaliti hata kidogo.....
Otherwise jiandae kwa msiba.....
si mpaka awapate sasaHao hao wachache, anaweza akawa mmoja wapo??
Amaa kwelii dah vijana wa sasa Hamna imani na penzi la dhatisi mpaka awapate sasa
Sent from my iDevice using Tapatalk
kalagha bao😀😀😀😀 watu wasiojulikana wapo wengi sana vyuoni...Mimi nina mchumba anatarajia kwenda Chuo Kikuu, sasa anasema nimsubiri. Je, itawezekana kumuoa au atabadilika?
Sent using Jamii Forums mobile app
oooh kwan wewe dada yangu unalo?Amaa kwelii dah vijana wa sasa Hamna imani na penzi la dhati
Sina my kaka but naamini yupo mungu aliyeniandalia special wa kwangu mwenyewe!!!oooh kwan wewe dada yangu unalo?
Sent from my iDevice using Tapatalk