Usijali kiongoz,kua na subiri hakikisha mawasiliano ya Mara kwa Mara hayakosekan kama anakupenda kwel na ana malengo wa wewe hawez kugeuka,chuon kuna mambo meng yanayoweza kumbadilisha MTU lakin kubwa kuliko yte ni Uhuru ambao anaenda kukutana nao,so anaweza badilika pia ana asilimia kubwa ya kutobadilika kama anafuata maadili sahihi,
Mi nilipata shida sana mkuu mpka kuoa,toka form 2 naimbisha,ikaja a level naimbisha naambiwa kama unanipenda utanisubiri,kapiga chuo miaka mitano nasubiri tu,mpka kamaliza akanipa mashart hakuna kuduu mpka ndoa,Ila njoo ujitambulishe home,so ni changamoto sana japo nilikua namtembelea kila mwez chuon kwao lakin sikumgusa kabsa,baadae nikapata faida na jibu kwa nn alikua ananizungusha,kumbe bhana alikua hajaguswa aisee toka kuzaliwa,na nikaja kula tunda kwenye honeymoon emagine kiongoz ni msoto gan niliopitia hapo,Ila tu nashukuru hakubadilika alipoenda chuo nam nilikua nawasiwas km ww lakin nilikomaaa mpka Leo kawa mke na watto wawili mungu ametujalia,Ila kuna ugumu sana kama atakutana na kampan isiyoeleweka. Miaka kumi nimesubir nawe nakuomba kua nasubiri kila kitu kina sababu zake. Bora we ulishapewa hata mzigo kdgo Ila mm niliisotea miaka kumi na nikaipata baada ya ndoa. So subir na kama mungu amewapanga mtaoana hakitabadilika kitu... Pole sana
Sent using
Jamii Forums mobile app