Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

Tatizo la wanawake wengi wanawaza mbele tu, akifika chuo atakuona ww huna maana na anajiona kasha win maisha sbb anakuwa na matumaini makubwaaaaaaaa ya maisha kuliko uhalisia sbb tu kafika chuo, miguu juu
 
Hahahaaaa....unanikumbusha life la udsm mkuu, tatizo ni mazingira yapo vere vere shawishi! Nakumbuka kulitokea tatizo sijui la maji kukatika muda mrefu vile, watu wakaandaa kunji, huku na huku uharibifu ukatokea, mkuu wa chuo (mkandala) kaitisha mkutano, kaongea ongea wee mwisho anasema '...au niwapige marufuku jinsia tofauti kukaa chumbani mpaka saa sita usiku(hiyo ndo tym limit enzi hizo sijui nw), watu wakanywea, vurugu zikaisha na masomo yakaendelea. Point yangu hapo ni mazingira km hayo ya binti kuruhusiwa vyumba vya wanaume night kali n its vice versa na mazingira lukuki hatarishi likiwemo boom! My friend labda uoe kabisa ili chochote kikitokea usimkose kabisa!
 
nafikri semester ipo mwsho kabisa, vipi mtoa mada mchumba wako kachange au yuko vile vile??
 
Msubiri kama una uwezo,ila chukua tahadhari huwa wanabadirika wakifika chuo.
Hili ni kweli wangu alibadilika mwaka wa kwanza na hakuna mtu nilimjali kama huyo ila duh sav ananipigiaga simu na nshamove on hahahahhaaha ila mwache aende wanatofautiana
 
Subiri lakin jipe tahadhari kaka. kuwa tayari lwa lolote ikiwemo na dem kukuacha.
Huko chuo si madem si wake za watu.. huwa wakienda tu kwisha habari, wanamilikiwa na watu wengine.
Na tabia huaribika huko huko.

Ndio msubiri lakin muda huo wekeza kwenye maisha, ili likitokea la kutokea usiumie.
 
Isijekuwa ulikuwa unamsomesha mkuu, maana Hakuna kosa baya km kusomesha demu ukitegemea uje kumuoa!

99% huwa wanaishia kujilaumu!
Hahahah BIGURUBE sikufanikiwa hilo maana nilianza nae akiwa form five nikiri tu kwamba nilimuhudumia alipolazwa maana kidogo alikuwa na pressure na pia matatizo ya nevers any way niliplay part yangu kwakiwango cha juu sana mapka ikafika mahala mama yake kuniamini sana mana niliamishiwa kikazi tabora na yeye kipindi hicho alikuwa tabora gils any way nilienda nae mpka akamaliza six akafanikiwa kwenda chuo kimoja hapa mjini dar kwakweli akaanza kuwa na maneno mengi wakati alikuwa very discent yan, na nimpole kupindukia ila nilishamwambiaga na nika mu warning kwamba mi najua mwaka wakwanza ndio unaweza ukawa mwisho wetu mana wanawake mnabadilikaga mkifika chuo akanikatalia akaniambia kwa uliyoyafanya nilaaniwe nikibadilika akaandika na ma diary na ma voice akarekod ili kuweka kumbukumbu sawa na akajiapia bwana we mwaka wakwanza akaanza kuwa amneno mengi yani tukiongea mm nna neno moja yy anayo kumi wakat mm ndio nilikuwa najionaga naongea kuliko yy, akasema mpenz masomo yanabana af pia nahitaji laptop mwanaume nikajitahidi nikamchukulia ka HP core i 5 basi maisha yakaenda ,chenges zikaanza akawa muongeaji kuliko ,basi nikaanza kujiandaa na kuuandaa moyo na kujiandaa ki saikolojia ,bwana kwani hata ilipita muda ,mnakaa hata week mbili hamna hata hi ,basi ikafika time akaniambia pliz give me a space ni weza kukava vizuri masomo nkamwambia haya ni muda gani akanaiambia ntakwambia mwanaume nkajikaza kiume tumeeenda mara kimya nikiuliza iyo space vip ishakuwa occupied nn ananiambia hamna nikaanza kuona no longer at easy nkaanza kujinasua mpka siku tukawa kila mtu na mambo yake nikaendelea na yangu,
 
Polee sana, ila hicho kiapo alichokula kitamtafuna!

Mm pia ilinitokea exactly km yako, nilianza vizuri tu na demu akiwa form 4 mpaka anamaliza form six, wakati anakaribia kwenda chuo Nilikaa nikaongea nae sana juu ya mabadiliko ya ghafla ya Wasichana wengi wakifika chuo, alinikatalia kabisa kuwa ikitokea akabadilika basi na afe kabisa. Nikakwambia tu Sawa all the best.

Alipofika chuo miezi mitatu ya Mwanzo mawasiliano yalikuwa mazuri sana, Baada ya Hapo nikaona changes za ajabu sana, bahati Nzuri nilikuwa na mdogo wangu chuo hicho hicho, akanipa A-Z ya mambo anayofanya demu chuo.

Nilimwambia tu kila lakheri.

To cut the story mpaka Leo aligeuka kuwa limchepuko langu huwaga nakula ninapotaka tu tena kwa gharama zake, means km ni accommodation analipa yy maana mm sijwahi kumhitaji tena, ni yy akiwa na nyege zake huwa anaomba nimpe game basi kila mtu anabaki na 50 zake!
 
Dah hz stor zipo Sana,,, kwenye 10 wanaosomeshwa Chuo,,labda mmoja ndo unaweza kuja kumuoa ila wengi wao huwa ni kilio tu,, demu mwaka wa kwanza tu anachange tabia,,,

Kuna mshikaji wangu yy kafankisha huwa nkmtzama namuona anamoyo wa ujasiri sana,,, yy anadiploma ila ameanza kumsomesha demu toka form 5 akamalza six,, jamaa akaanza kumlipia Chuo,, wakat huo demu anamwambia akmaliza degree ndo Waoane jamaa kakomaa hadi demu kamaliza,, jamaa anamuuliza vp sasa suala LA kuoana,,, demu akadai ajira kwa sasa ni ngumu Sana,,, inabd nikasome tena
Degree ya pili ili mambo yawe poa,,, jamaa akaingia tena chimbo kasomesha hadi demu kamaliza,,,
Mwaka jana wamefunga ndoa,, ila mshkja kaitwa majina ya kila Aina,,, fala,boya ila ndo ivo na yy alkuwa na Mungu wake
 
Huyo ni mmoja Kati ya 1000.

Hata hivyo bado ndoa sio kigezo cha mapenzi, maana ndoa za Cku hizi nyingine hazidumu hata mwaka mmoja!
 
Mzee wa kazi magoti, ungespecify huyo demu anaenda chuo kipi, kama ni hichi kikuu mlimani ambiance!, hesabu 00
 
Hahahah BIGURUBE sikufanikiwa hilo maana nilianza nae akiwa form five nikiri tu kwamba nilimuhudumia alipolazwa maana kidogo alikuwa na pressure na pia matatizo ya nevers any way niliplay part yangu kwakiwango cha juu sana mapka ikafika mahala mama yake kuniamini sana mana niliamishiwa kikazi tabora na yeye kipindi hicho alikuwa tabora gils any way nilienda nae mpka akamaliza six akafanikiwa kwenda chuo kimoja hapa mjini dar kwakweli akaanza kuwa na maneno mengi wakati alikuwa very discent yan, na nimpole kupindukia ila nilishamwambiaga na nika mu warning kwamba mi najua mwaka wakwanza ndio unaweza ukawa mwisho wetu mana wanawake mnabadilikaga mkifika chuo akanikatalia akaniambia kwa uliyoyafanya nilaaniwe nikibadilika akaandika na ma diary na ma voice akarekod ili kuweka kumbukumbu sawa na akajiapia bwana we mwaka wakwanza akaanza kuwa amneno mengi yani tukiongea mm nna neno moja yy anayo kumi wakat mm ndio nilikuwa najionaga naongea kuliko yy, akasema mpenz masomo yanabana af pia nahitaji laptop mwanaume nikajitahidi nikamchukulia ka HP core i 5 basi maisha yakaenda ,chenges zikaanza akawa muongeaji kuliko ,basi nikaanza kujiandaa na kuuandaa moyo na kujiandaa ki saikolojia ,bwana kwani hata ilipita muda ,mnakaa hata week mbili hamna hata hi ,basi ikafika time akaniambia pliz give me a space ni weza kukava vizuri masomo nkamwambia haya ni muda gani akanaiambia ntakwambia mwanaume nkajikaza kiume tumeeenda mara kimya nikiuliza iyo space vip ishakuwa occupied nn ananiambia hamna nikaanza kuona no longer at easy nkaanza kujinasua mpka siku tukawa kila mtu na mambo yake nikaendelea na yangu,
Doh mwisho mbaya sana aisee mpaka nimeumia
 
Back
Top Bottom