Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

Atabadilika. Ila kubali tu kuwa hayo ni maisha yake. Hivyo, mwisho wa siku atafuata anachotaka. So, kama unampenda, just hope utabaki katika nafasi yako wakati wa mabadiliko.
Kingine, jaribu kuondoa misconception ya kwamba kuna mtu umeumbiwa. Anything can happen anytime. Be ready.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina mchumba anatarajia kwenda Chuo Kikuu, sasa anasema nimsubiri. Je, itawezekana kumuoa au atabadilika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Km wewe huchepuki nayeye hachepuki sawa ,, ila km wewe unachepuka lkn ndo mwanamke unayempenda ,Basi nayeye uko atapigwa tuuu..


Aiseee mkuuu kwaufupi umbali nitatizo kubwa sana ,,yaaan ukiwa mbali nmwanamke wao.lazima aliwe ,, ukisafiri ukamwacha mkeo kwamuda mrefu kama hana akili atapigwa tuu.
 
Hapo huna mchumba tena kijana, wakisha enda chuo andika maumivu..

Hubadilika tabia pindi wafikapo chuo yaani ataenda kukutana na wenye hadhi kubwa na vishawishi vya hapa na pale........

Labla kama wewe unafanya kazi BOT, na Baba yako ni mmiliki wa Oilcom na Mama yako anafanya kazi Bank ya dunia hapo ndiyo hatakusaliti hata kidogo.....


Otherwise jiandae kwa msiba.....
Mkuuu hata ivo bado atagongwa tuuu...lkn akirudi ndo anajifanya katulia..

Mara nyingi wanawake hutika na mwaname wanayemuona kwamacho.
 
Back
Top Bottom