ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,321
- 50,541
Hivi kwa mfano nimemua ni mchumbie mchumba wa kizungu mwenye maisha ya kawaida nawezaje kumpata?
Namzungumzia mwenye utayari wa kuishi hapahapa Tanzania na kuendena angalau kidogo na taratibu za jamii ya hapa. Nataka nijue ni maeneo gani wanajilengesha wazungu wengi wa namna hio.