Napata wapi wazungu wanawake walio tayari kuolewa na Waafrika tuishi maisha ya ndoa ya Kikristo?

Hivi kwa mfano nimemua ni mchumbie mchumba wa kizungu mwenye maisha ya kawaida nawezaje kumpata?. . Namzungumzia mwenye utayari wa kuishi hapahapa Tanzania na kuendena angalau kidogo na taratibu za jamii ya hapa. Nataka nijue ni maeneo gani wanajilengesha wazungu wengi wa namna hio
Kama huna hela sahau, hizo ni njaa tu.. Kama kweli hujui sehem ya kuwapata hao wazungu hadi usaidiwe basi wewe ni jipu
 
ingia
Hivi kwa mfano nimemua ni mchumbie mchumba wa kizungu mwenye maisha ya kawaida nawezaje kumpata?. . Namzungumzia mwenye utayari wa kuishi hapahapa Tanzania na kuendena angalau kidogo na taratibu za jamii ya hapa. Nataka nijue ni maeneo gani wanajilengesha wazungu wengi wa namna hio
ingia DATANTA.COM, wapo wengi sana huku, uvumilivu wako tu, na ngeli yako
 
Mkuu kama upo serious kuwa unachotaka ni mzungu tu...Nenda Arusha nakumbuka kuna hotel ilikuwa inaitwa Via Via pale wazungu hadi walikuwa wanajiuza kabisa sembuse kuolewa unachukua faster...Kuna club ingine ilikuwa inaitwa Masai Camp palikuwa panapigwa disco walikuwa wazungu wengi mno na wengi wao walikuwa na ule mtazamo kuwa wanaume wa kiafrica wamehaliwa mizigo so kila mzungu alikuwa anataka kuprove so walikuwa easy go sana....
Dah Via Via ,Masai camp ,Watishi wa kumwaga yeye tu na roho yake ,sema sijui kama Masai camp bado iko kama zamani
 
Dah Via Via ,Masai camp ,Watishi wa kumwaga yeye tu na roho yake ,sema sijui kama Masai camp bado iko kama zamani
Longtime sana hata mimi sijui kama bado inawika...Nakumbuka enzi hizo Mavolunteer walikuwa wakutosha unamkchukua mpaka asubuhi unachofanya unawacha namba yako kwa huyo mwenyeji aliekuwa nao ili akutafute incase ukipotea na mtasha...
 
Dah enzi masai iko poa ni wakati Colubus club nayo ikiwa kwenye chati yaani jumamosi mnaanzia Sega world kwa Manish pembeni hapo kuna wahindi walikua wanatengeneza chips na kuku na mishikaki ,mnashuka Masai camp then night kubwa Colubus
 
Upo mkoa gani, kama arusha kafanye kwenye kampuni za tour....
Kama kwingineko fuga rasta uwe unaenda enda beach utawakuta, ukimpata usinisahau uniunganishe hata na mjomba wake
ha ha haaaaaa, akipata aikusahau. Auunganishe hata na mjomba wake. ha ha ha haaaa. kumbe mpo wengi sema tuu naanzaje. ha ha haaaa.
 
Dah enzi masai iko poa ni wakati Colubus club nayo ikiwa kwenye chati yaani jumamosi mnaanzia Sega world kwa Manish pembeni hapo kuna wahindi walikua wanatengeneza chips na kuku na mishikaki ,mnashuka Masai camp then night kubwa Colubus
Hatare sana Colubus enzi hizo kukiwa na kumbi mbili za wazungu na waswahili ukichoka kucheza kwa waswahili unaenda kwa wazungu...Arusha is a place to be..
 
Hivi kwa mfano nimemua ni mchumbie mchumba wa kizungu mwenye maisha ya kawaida nawezaje kumpata?. . Namzungumzia mwenye utayari wa kuishi hapahapa Tanzania na kuendena angalau kidogo na taratibu za jamii ya hapa. Nataka nijue ni maeneo gani wanajilengesha wazungu wengi wa namna hio
Vingunguti machinjioni. Wapo kibao wanagombaniana makongoro na utumbo.
Alfajiri utawakuta kibao
 
Nijuavyo madem wa kizungu wengi wao waliokulia bongo hapa ni wana nata mbayaaa plus dharau tena usipokua na hela utalia dogo.

Ni wana hulka ya kujiona flan hivi labda dem wa kizungu wa nnje na wengi hawapendi ishi TZ wanakuja kutalii tu hao ndio najua ni rahisi kuwapata if u win their heart.
 
Mkuu kama upo serious kuwa unachotaka ni mzungu tu...Nenda Arusha nakumbuka kuna hotel ilikuwa inaitwa Via Via pale wazungu hadi walikuwa wanajiuza kabisa sembuse kuolewa unachukua faster...Kuna club ingine ilikuwa inaitwa Masai Camp palikuwa panapigwa disco walikuwa wazungu wengi mno na wengi wao walikuwa na ule mtazamo kuwa wanaume wa kiafrica wamehaliwa mizigo so kila mzungu alikuwa anataka kuprove so walikuwa easy go sana....
Via Via hadi leo hii wapo wanajiuza ni yeye na dola zake tu
 
Kila mmoja ana hulka zake..period
Cha msingi ni maisha namna ulivopanga wewe mimi nataka mwanamke ila awe wa kizungu na tena ni vizuri asitoke kwenye familia yenye uwezo
Mkuu achana nao hawa, wengine wana vijiba vya roho, wadada wanaona umewashusha, Mimi nanaye mchumba WA Kizungu Na baadaye mwaka huu nakwea pipa kwenda kukutana, maisha Ni kupanga Na kupanga Ni kuchagua, Kama ambavyo umeuliza, Na Wao pia huuliza hivyo hivyo kuwa watapata wapi Mwanaume Mwafrica kwa ajiri ya ndoa.....Nihakikishie Tu Kama upo serious nikuonyeshe pakuwapata, wapo Bwelele....kwanza ukitokeza Tu wanakugombania!!! Dunia imekua kijiji sasa mkuu!
 
Usiangaike nende Ukraine miezi niwili tu lazima upate mtoto mkali wa kitasha..I mean mkali kweli kweli, nilienda kama nwanafunzi majuzi kati sikuchelewa nikang'oa mtoto mkali kwenye church la kisabato jhenyakovic pia kama kawaida idadi ya wanaume ni kubwa saana kuliko wanawake na miongoni mwa ishu ambazo ni heshima kule Ukraine ni mwanamke kuolewa na kuwa na Familia yake na kizuri zaidi wanawake wa Ukraine family ndo the first priority mume wake na mwanae kwanza then wengine wanafuata baadae, thus pure love ni uhakika then miamala baaadae.

Matter od fact, Black and white combination kwa sasa ni fasheni pale Ukraine pia tafiti za hivi karibuni zimetuweka akina shambuku sehemu nzuri ya kupata your dream mtasha wife kwamba most of the mixed race kids are very attractive and succesfuly and na pia damu yao ina uwezo wa kupoteza magonjwa ya ukoo kama ukoma, kisukari e.t.c wahindi na macho madogo walikuwa wanatuonea gere Wamatumbi tunavyogombewa na vigori wa kitasha.

As long as unataka kuoa nakushauri tafuta vekesheni ya Ukraine au Bulgaria utawakimbia mademu wa kitasha maana kule kuna hadi agency of marriage girls wanataka ndoa at any cost.

Hasta la mañaña.
 
Kila mmoja ana hulka zake..period
Cha msingi ni maisha namna ulivopanga wewe mimi nataka mwanamke ila awe wa kizungu na tena ni vizuri asitoke kwenye familia yenye uwezo
Nenda sanasana Arusha,maeneo kama ya Masai Camp kijenge,mitaa ya njiro na Ilboru huko wapo wengi na wanajichanganya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom