Napata wapi wazungu wanawake walio tayari kuolewa na Waafrika tuishi maisha ya ndoa ya Kikristo?

Usiangaike nende Ukraine miezi niwili tu lazima upate mtoto mkali wa kitasha..I mean mkali kweli kweli, nilienda kama nwanafunzi majuzi kati kama kawaida idadi ya wanaume ni kubwa saana kuliko wanawake na miongoni mwa ishu ambazo ni heshima kule Ukraine ni mwanamke kuolewa na kuwa na Familia yake na kizuri zaidi wanawake wa Ukraine family ndo the first priority mume wake na mwanae kwanza then wengine wanafuata baadae.

Matter od fact, Black and white combination kwa sasa ni fasheni pale Ukraine pia wameaminishwa kwamba most of the mixed race kids are very attractive and succesfuly and na pia samu yao ina uwezo wa kupoteza magonjwa ya ukoo kama ukoma, kisukari e.t.c wahindi na macho madogo walikuwa wanatuonea gere vigori vya kitasha vinavyojigonga kwa Wamatumbi.

As long as unataka kuoa nakushauri tafuta vekesheni ya Ukraine au Bulgaria utawakimbia mademu wa kitasha maana kule kuna hadi agency of marriage girls wanataka ndoa at any cost.

Hasta la mañaña.
Mkuu hilo ni wazo zuri ila tatizo mimi sitapata hio nafasi ya kwenda Ukraine
Tayari ni mwajiriwa wa hii serikali ni askar jeshi hivo ni ngumu
Mimi nataka aliyetoa tayari kuishi hapahapa bongoland
 
Dah enzi masai iko poa ni wakati Colubus club nayo ikiwa kwenye chati yaani jumamosi mnaanzia Sega world kwa Manish pembeni hapo kuna wahindi walikua wanatengeneza chips na kuku na mishikaki ,mnashuka Masai camp then night kubwa Colubus
Hahaha...Arushaaa, mmenikumbusha mbali wakuu. Hm swt Hm.
 
Usiangaike nende Ukraine miezi niwili tu lazima upate mtoto mkali wa kitasha..I mean mkali kweli kweli, nilienda kama nwanafunzi majuzi kati sikuchelewa nikang'oa mtoto mkali kwenye church la kisabato jhenyakovic pia kama kawaida idadi ya wanaume ni kubwa saana kuliko wanawake na miongoni mwa ishu ambazo ni heshima kule Ukraine ni mwanamke kuolewa na kuwa na Familia yake na kizuri zaidi wanawake wa Ukraine family ndo the first priority mume wake na mwanae kwanza then wengine wanafuata baadae, thus pure love ni uhakika then miamala baaadae.

Matter od fact, Black and white combination kwa sasa ni fasheni pale Ukraine pia tafiti za hivi karibuni zimetuweka akina shambuku sehemu nzuri ya kupata your dream mtasha wife kwamba most of the mixed race kids are very attractive and succesfuly and na pia damu yao ina uwezo wa kupoteza magonjwa ya ukoo kama ukoma, kisukari e.t.c wahindi na macho madogo walikuwa wanatuonea gere Wamatumbi tunavyogombewa na vigori wa kitasha.

As long as unataka kuoa nakushauri tafuta vekesheni ya Ukraine au Bulgaria utawakimbia mademu wa kitasha maana kule kuna hadi agency of marriage girls wanataka ndoa at any cost.

Hasta la mañaña.
Привет
 
duh kumbe huku chuga kuna nafasi nzuri zaidi ya kupata li mzungu la kuoa acha nianze mchakato kesho naanzia gym khana!......alaaa
 
Hawako kama unavyofikiria mie nipo nao mara nyingi na ninawagonga sana esp kwenye mitungi..

Hawana tofauti na wabantu linapokuja suala la mahusiano na ndoa coz taratibu zote lazima zifanyike mitongozano, kukubaliwa,mahusiano na ndoa...stop believing in Hollywood movies
 
Hivi kwa mfano nimemua ni mchumbie mchumba wa kizungu mwenye maisha ya kawaida nawezaje kumpata?. . Namzungumzia mwenye utayari wa kuishi hapahapa Tanzania na kuendena angalau kidogo na taratibu za jamii ya hapa. Nataka nijue ni maeneo gani wanajilengesha wazungu wengi wa namna hio
Nenda Airport wanashuka kila dakika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom