Napata wapi wazungu wanawake walio tayari kuolewa na Waafrika tuishi maisha ya ndoa ya Kikristo?

Hivi kwa mfano nimemua ni mchumbie mchumba wa kizungu mwenye maisha ya kawaida nawezaje kumpata?. . Namzungumzia mwenye utayari wa kuishi hapahapa Tanzania na kuendena angalau kidogo na taratibu za jamii ya hapa. Nataka nijue ni maeneo gani wanajilengesha wazungu wengi wa namna hio

wazungu wanawake hawaolewi, huwa wanaoa. Upo tayari kuolewa?​

Hivi kwa mfano nimemua ni mchumbie mchumba wa kizungu mwenye maisha ya kawaida nawezaje kumpata?. . Namzungumzia mwenye utayari wa kuishi hapahapa Tanzania na kuendena angalau kidogo na taratibu za jamii ya hapa. Nataka nijue ni maeneo gani wanajilengesha wazungu wengi wa namna hio
Mkuu six pack muhimu kabla ya yote....kitu Cha pili jua kujitupia vzuri mixer na unyunyu wenyewe wa kuoga.......Alf Anza kujichanganya kweny hizi boat party... wazungu wanapenda sana...... baada ya hapo utaona maajabu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa mfano nimemua ni mchumbie mchumba wa kizungu mwenye maisha ya kawaida nawezaje kumpata?. . Namzungumzia mwenye utayari wa kuishi hapahapa Tanzania na kuendena angalau kidogo na taratibu za jamii ya hapa. Nataka nijue ni maeneo gani wanajilengesha wazungu wengi wa namna hio
Unataka mzungu wa roho au rangi? Ndege J jiandae kupika
 
Dogo fanya kazi kwa bidii utafute pesa zako, hata wazungu wana hali ngumu vile vile sema tunawachukulia high sana.
 
Kila mmoja ana hulka zake..period
Cha msingi ni maisha namna ulivopanga wewe mimi nataka mwanamke ila awe wa kizungu na tena ni vizuri asitoke kwenye familia yenye uwezo
Kwa sasa hivi kuna wanawake kibao wa UKRAIN wamekimbia nchi yao ni wakimbizi jichagulie kutoka mitandaoni upate wake uoe bila hata kutoa mahari
 
Usiangaike nende Ukraine miezi niwili tu lazima upate mtoto mkali wa kitasha..I mean mkali kweli kweli, nilienda kama nwanafunzi majuzi kati sikuchelewa nikang'oa mtoto mkali kwenye church la kisabato jhenyakovic pia kama kawaida idadi ya wanaume ni kubwa saana kuliko wanawake na miongoni mwa ishu ambazo ni heshima kule Ukraine ni mwanamke kuolewa na kuwa na Familia yake na kizuri zaidi wanawake wa Ukraine family ndo the first priority mume wake na mwanae kwanza then wengine wanafuata baadae, thus pure love ni uhakika then miamala baaadae.

Matter od fact, Black and white combination kwa sasa ni fasheni pale Ukraine pia tafiti za hivi karibuni zimetuweka akina shambuku sehemu nzuri ya kupata your dream mtasha wife kwamba most of the mixed race kids are very attractive and succesfuly and na pia damu yao ina uwezo wa kupoteza magonjwa ya ukoo kama ukoma, kisukari e.t.c wahindi na macho madogo walikuwa wanatuonea gere Wamatumbi tunavyogombewa na vigori wa kitasha.

As long as unataka kuoa nakushauri tafuta vekesheni ya Ukraine au Bulgaria utawakimbia mademu wa kitasha maana kule kuna hadi agency of marriage girls wanataka ndoa at any cost.

Hasta la mañaña.
Sasa hivi jamaa angekua anachapwa mvua za mabomu na Putin, hatari sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom