Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,551
Wala usihangaike boss.
Ipo hivi, wasichana wengi walio stable hudate na wanaume walio stable pia na ma hb. Wewe kitendo cha kusahau wallet ofisini maana yake umejaza vitambulisho na noti moja ya elfu kumi na sarafu ya mia mbili tuu. That means, huna hata confidence ya kumuapproach msichana wa ofisi ya jirani au next desk on you na ndio maana wale wote ulionao wanakuona wewe ndio upo vizuri na kukufuata au kukukubali kuliko unavokubaliwa. Tunisha pochi kwa noti siyo vitambulisho mzazi.
Anyway chukulia powa maana hawa wadada ndo walivyo. Mkeo tu atakutegemea sembuse outsourced.
Jibu rahisi "ndo walivyo"