Vyovyote tu mkuuAkili za kidangaji hizo
Hahahah we unazungumzia mwanamke mchumi, kihalisia tabia ya uchumi kwa wanawake ni inborn trait huwa wengi wana uwezo mkubwa wa ku manage resources kama fedha ili iweze kutosha kutimiza mahitaji muhimu ya kila siku katika familia regardless ni ndogo kiasi gani! Ukipata mke wa hivyo umeula mkuu na ndio hasa type za mama zetu sisi ambao ni wahenga kwa sasa!Natamani sana ningepata mwanamke tegemezi anayewaza nilichompatia atakigawa vipi na kiitoshe familia kuliko huyo anaejiweza wallah naapa wanawake wengi hasa wale wenye viajira serikalini na kwenye mashirika binafsi wanatutesa sana sisi tulio jiajili hata kama unawazidi kipato lakin bado nimajanga tu, sitaki kumsikia mwanamke mwenye pesa hata kama namzidi
Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake zangu wote huwa wanakua tegemezi yaani ananitegemea kwa kila kitu..
Huwa nashangaa sana baadhi ya marafiki zangu wanatumiwa pesa na wapenzi wao pindi wakikwama mimi huwa najiuliza huwa nakosea wapi?
Mbaya zaidi juzi nimeenda mgahawa mmoja hapa mjini kupata chakula kumbe wakati huo waleti haipo mfukoni (niliisaau ofsini) nimemaliza kula chakula ile nazama mfukoni hamna walet na ofsini mbali nikampigia simu mwanamke wangu anitumie 5000 tuu nilipe hela ya watu, yeye akanijibu "oooh bby ntatoa wapi hela mimi sina hela"
Ili nisisumbue watu ikabidi nimpigie simu mama angu (yupo mkoani) yeye akanitumia pesa mda ule ule,,na nikalipa deni la msosi
hapo najiuliza kwanini napata wanawake magalasa ni warembo tuu lakini hawajiwezi kiuchumi nakosea wapi wakuu?
Haina kambaya mama!Vyovyote tu mkuu
Unaona mkuu,na ndiyo maana maandiko yanasisitiza kuwa wanawake hawa tuishi nao kwa akiliMi huwa nawachukia wanawake kwa hili swala la ubinafsi yani, sijui hata waliumbweje yani hawa wenzetu! Mambo mazuri yote atataka umfanyie wewe kama vile malikia ila linapokuja swala la pesa yake hatakupa kwa roho nyeupe hata siku moja, unaeza mpa pesa mwaka mzima ila omba akuazime siku moja tu ukikwama lazma anune akikupa!
Unaeza mlisha miaka 40 ya ndoa bila kulalamika ila poteza kazi kwa mwezi mmoja tu hayo masimango utakuwa unarudi kulala kwako kama digidigi!
Mbaya zaidi juzi nimeenda mgahawa mmoja hapa mjini kupata chakula kumbe wakati huo waleti haipo mfukoni (niliisaau ofsini) nimemaliza kula chakula ile nazama mfukoni hamna walet na ofsini mbali nikampigia simu mwanamke wangu anitumie 5000 tuu nilipe hela ya watu, yeye akanijibu "oooh bby ntatoa wapi hela mimi sina hela"
Ili nisisumbue watu ikabidi nimpigie simu mama angu (yupo mkoani) yeye akanitumia pesa mda ule ule,,na nikalipa deni la msosi
hapo najiuliza kwanini napata wanawake magalasa ni warembo tuu lakini hawajiwezi kiuchumi nakosea wapi wakuu?
Mnataka ready made sio? mwanamke anatengenezwa yaani ukiona mwanamke anakupa ela ujue ulianza na kumjali kabla kisha baadae akajenga imani kwako na ndio maana demu nae anatoa ukikwama. Komaeni kama ni wife material mnaowapata waoeni na wapeni mitaji maana wanaume tunaingia kwenye mahusiano na wanawake na si fedha za wanawae kwani unaweza ukampata anaejiweza lakini kwa fedha za kuajiriwa (je uliwahi kujifikiria ikatokea amepigwa chini kazi itakuaje?)Boss wewe ni kama mimi. Sijui nakwama wapiii
Sasa tusipokuwa wategemezi mtakuwa wanaume kweli!!!Marhaba...
wanauliziwa wanawake wasiotegemezi nafikiri panakufaa hapa.
Tabia za kikupe kupe ndo zimejaa mjini. Ukijichanganya tu. UtajutaKama umeanza mapenzi 2009 wee bado mtoto so unaowapata ni watoto wenzako ambao kula kunya kulala bure hawezi kukusaidia japo kumi moja,jiongeze tafuta wanawake wanaojielewa mbona wamejaa tu ukizingatia wee tayari una ajira yako ya kukupatia kipato so tafuta wa type yako achana na hapo warembo sana halafu wanatabia za kikupe kupe na kunguni