Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

floow

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
411
852
Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake zangu wote huwa wanakua tegemezi yaani ananitegemea kwa kila kitu..

Huwa nashangaa sana baadhi ya marafiki zangu wanatumiwa pesa na wapenzi wao pindi wakikwama mimi huwa najiuliza huwa nakosea wapi?

Mbaya zaidi juzi nimeenda mgahawa mmoja hapa mjini kupata chakula kumbe wakati huo waleti haipo mfukoni (niliisaau ofsini) nimemaliza kula chakula ile nazama mfukoni hamna walet na ofsini mbali nikampigia simu mwanamke wangu anitumie 5000 tuu nilipe hela ya watu, yeye akanijibu "oooh bby ntatoa wapi hela mimi sina hela"

Ili nisisumbue watu ikabidi nimpigie simu mama angu (yupo mkoani) yeye akanitumia pesa mda ule ule,,na nikalipa deni la msosi
hapo najiuliza kwanini napata wanawake magalasa ni warembo tuu lakini hawajiwezi kiuchumi nakosea wapi wakuu?
 
Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali.....

Chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake zangu wote huwa wanakua tegemezi yaani ananitegemea kwa kila kitu..

Huwa nashangaa sana baadhi ya marafiki zangu wanatumiwa pesa na wapenzi wao pindi wakikwama..mimi huwa najiuliza huwa nakosea wapi?

Mbaya zaidi juzi nimeenda mgahawa mmoja hapa mjini kupata chakula kumbe wakati huo waleti haipo mfukoni (niliisaau ofsini) nimemaliza kula chakula ile nazama mfukoni hamna walet na ofsini mbali..Nikampigia sm mwanamke wangu anitumie 5000 tuu nilipe hela ya watu, yeye akanijibu "oooh bby ntatoa wapi hela mimi sina hela"

Ili nisisumbue watu ikabidi nimpigie sm MAMA angu (yupo mkoani) yeye akanitumia pesa mda ule ule,,na nikalipa deni la msosi

Hapo najiuliza kwanini napata wanawake magalasa,,ni warembo tuu lakini hawajiwezi kiuchumi
Nakosea wapi wakuu?
Tangu 2009 hujajua tu tatizo lako?
 
Wape mawazo ya biashara na waamzishie biashara.
 
Yess bossYani hata akishika mimba nasema OK. Sijawai kupata boss. Nna majanga balaaa. Sijui nakwama wapi. Kila nikipata mwanamke anakuwa kama DEMISS
duhh !!! pole sana " but mimi huwa nina amini mpenzi wa kweli (sahihi) hatafutwi kama kitu kilichopotea " bali huja mwenyewe " kwa kuletwa na wakati sahihi ... so kuwa na subiri acha papara Atakuja tu
 
Kama umeanza mapenzi 2009 wee bado mtoto so unaowapata ni watoto wenzako ambao kula kunya kulala bure hawezi kukusaidia japo kumi moja,jiongeze tafuta wanawake wanaojielewa mbona wamejaa tu ukizingatia wee tayari una ajira yako ya kukupatia kipato so tafuta wa type yako achana na hapo warembo sana halafu wanatabia za kikupe kupe na kunguni
 
Ngoja nitulizane boss nione. Ila napata furaha nikiona mtu na dem wake toka sekondari hadi chuo hadi maishani. I wish ningemuandaa mtu ajekuwa wife wangu
duhh !!! pole sana " but mimi huwa nina amini mpenzi wa kweli (sahihi) hatafutwi kama kitu kilichopotea " bali huja mwenyewe " kwa kuletwa na wakati sahihi ... so kuwa na subiri acha papara Atakuja tu
 
Ngoja nitulizane boss nione. Ila napata furaha nikiona mtu na dem wake toka sekondari hadi chuo hadi maishani. I wish ningemuandaa mtu ajekuwa wife wangu
kila mtu ana uwanda wake wakufarahia maisha " .. kuna wenye kipato kikubwa lakini hawana watoto .. kuna wenye watoto lakini hawana kipato kikubwa ..

pia usione watu wapo kwenye mahusiano tu then ukatamani life style yao ".. mkuu siri ya mtungi aijuaye kata .. then ili uweze kuona uzuri wa jengo lazima ukae nalo mbali pindi utakapo lisogelea utajikuta unauona mlango tu pekee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom