Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

Nahisi tuna nyota ya kutoa tu Mimi sio wanawake tu hata rafiki tu wakumkopa sina yaani mpesa wananiamini kuliko watu wanaonizunguka ila wao kuomba sasa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Njoo kwangu nitakulipia bill zote maana najiweza mno.
Mwanamke akijiweza kiasi cha kujiamini hivi kama wewe huwa mna shida sana unaweza msaidia tena ni mume wako laikini kuna ukakasi fulani hivi, hela ya mwanamke huwa inatoka kwa manung'uniko ya chini chini hata kama akikusaidia mara moja ingawa sio wote ila asilimia kubwa
 
Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali.....

Chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake zangu wote huwa wanakua tegemezi yaani ananitegemea kwa kila kitu..

Huwa nashangaa sana baadhi ya marafiki zangu wanatumiwa pesa na wapenzi wao pindi wakikwama..mimi huwa najiuliza huwa nakosea wapi?

Mbaya zaidi juzi nimeenda mgahawa mmoja hapa mjini kupata chakula kumbe wakati huo waleti haipo mfukoni (niliisaau ofsini) nimemaliza kula chakula ile nazama mfukoni hamna walet na ofsini mbali..Nikampigia sm mwanamke wangu anitumie 5000 tuu nilipe hela ya watu, yeye akanijibu "oooh bby ntatoa wapi hela mimi sina hela"

Ili nisisumbue watu ikabidi nimpigie sm MAMA angu (yupo mkoani) yeye akanitumia pesa mda ule ule,,na nikalipa deni la msosi

Hapo najiuliza kwanini napata wanawake magalasa,,ni warembo tuu lakini hawajiwezi kiuchumi
Nakosea wapi wakuu?
Haukosei kitu ni kwamba ratio namba ya magoalkeepers imeelemea wanawake wanaojitegemea, endelea kusaka usikate tamaa!

Changamoto wanaoweza kujitegemea wengi wao ni surangumu..!
 
Inategemea na gia unazowaingilia. Kama mwanzoni unaonyesha kua unapesa sana lazima uwavutie wanawake njaa
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu usicheke yaani kama mnyamwezi na mizigo mizito yaani tabu tupu na hizi nyota sijawai kulipiwa hata nauli ya mia nne na mwanamke
 
Kuitegemea hela ya mwanamke mwanaume itakutesa...tho wanatakiwa nao watafute kazi itakayo muingizia kipato kama atajisikia atawavalisha hata watoto ila bado kumbuka hata akiwanunulia nguo watoto wake bado atabaki ananung'unika kwanini baba jack hajatoa yeye hiyo hela,so my friend jifunze kutoitegemea pesa ya mwanamke
 
Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali.....

Chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake zangu wote huwa wanakua tegemezi yaani ananitegemea kwa kila kitu..

Huwa nashangaa sana baadhi ya marafiki zangu wanatumiwa pesa na wapenzi wao pindi wakikwama..mimi huwa najiuliza huwa nakosea wapi?

Mbaya zaidi juzi nimeenda mgahawa mmoja hapa mjini kupata chakula kumbe wakati huo waleti haipo mfukoni (niliisaau ofsini) nimemaliza kula chakula ile nazama mfukoni hamna walet na ofsini mbali..Nikampigia sm mwanamke wangu anitumie 5000 tuu nilipe hela ya watu, yeye akanijibu "oooh bby ntatoa wapi hela mimi sina hela"

Ili nisisumbue watu ikabidi nimpigie sm MAMA angu (yupo mkoani) yeye akanitumia pesa mda ule ule,,na nikalipa deni la msosi

Hapo najiuliza kwanini napata wanawake magalasa,,ni warembo tuu lakini hawajiwezi kiuchumi
Nakosea wapi wakuu?
Siku ukizaliwa tena na kusoma tena, pata mchumba wa kuoa chuoni na siyo mtaani.
 
Ndiyo maana hamuolewi mumekalia dhana mfu, sasa hivi ni 50/50 ndiyo hivyo tunawasupport hautaki 50/50 kazalie kwenu..!
Pole ndugu. Harusi kila siku watu wanaolewa! Kila aina ya mwanamke anaolewa..anapata wa kufanana nae!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom